Huna haja ya kumnyanyasa mke wako kwakua tu una tatizo la nguvu za kiume.

Je, sex ni muhimu katika ndoa kiasi gani? - Linda Penzi Lako

Huna haja ya kumnyanyasa mke wako kwakua tu una tatizo la nguvu za kiume. najua unaumia sana ukijua kuwa usiku mzimawa masaa nane lakini tendo la ndoa unalifanya kwa dakika tano, unalala na huwezi kuendelea, inauma sana umelala kitandani na mwanamke mzuri lakini huwezi kumfanya chochote kwakua nguvu zimekuishia, najua umeshahangaika sana na madawa na ingawa mke wako hajui lakini unaumia zaidi wewe kuliko mke wako huyo unayemnyanyasa.
Najua pia kuwa unaamini kama ukimtukana na kumnyanyasa mwanamke basi ni ngumu kukuaha, unaamini kuwa ukimuachisha mke wako kazi, akawa anakutagemea kwa kila kitu basi hawezi kuondoka, unaamini kuwa kama ukimtukana mke wako, ukamuambia kuwa ananuka, nimchafu ana shape mbaya basi aatajisikia vibaya kama wewe na hatakua na amani hivyo hawezi kuondoka.
Najua pia kuwa unaamini kua kama ukimuonyesha mke wako kuwa wewe ni Malaya, ukawa na wanawake wengi, ukawa mtu wa kurudi subuhi, ukawa mtu wa bat asana, ukatafuta Malaya mtaani wakawa wanampigia simu kumtukana, ukamchukua yule rafiki yake ambaye hana bwana au ambaye kaolewa na ana ndoa yenye matatizo, ukatembea naye ukamhonga na mke wako akajua basi mkeo atajiona kuwa yeye ndiyo mwenye matatizo lakini wanawake wengine wanakung’ang’ania hivyo hataondoka kwaku atajiona ni tatizo.
Najua unajifariji kwa muda kwa kugombana ili mtengnae kitanda asikuguse usiku ila hiyo si suluhu. Kama unataka mke wakoa kugande jua kuwa hizo zakika tano zinaweza kumfikisha kileleni, sina dawa ya kudumu sijui kukuambia kunyw akitu flani utapona ila kuna vyakula vingi vyakula, lakini kuna staili nyingi za kufanya mapenzi, kuna mbinu nyingi za kumuandaa kiasi kwamba mke wako akafurahia tendo la ndoa kwa hizo dkika tano zako na wala asitamani au kuwaza kuchepuka.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA