KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO

Blog Feed – Page 30 – job
Kwamfano :
1.Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. HAPO UMEPISHANA NA MUME
2.Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe HAPO UMEPISHANA NA MUME
3.Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna HAPO UMEPISHANA NA MUME.
4.Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. HAPO UMEPISHANA NA MUME
5.Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. HAPO UMEPISHANA NA MUME.
6.Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. HAPO UMEPISHANA NA MUME
7.Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. HAPO UMEPISHANA NA MUME
8.Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. HAPO UMEPISHANA NA MWANAUME -.
9.Mwanamke unachati na mwanaume, chatting zako ni K, P, Pw. HAPO UMEPISHANA NA MUME
10.Mwanamke unaweka picha mapaja wazi, kifua umebust. HAPO UMEPISHANA NA MUME
11.Mwanamke unamwambia mwanaume akutumie video za ngono kwenye simu HAPO UMEPISHANA NA MUME
12. Mwanamke upo na mwanaume, anakwambia agiza chochote, bila kujishtukia unaagiza bia. HAPO UMEPISHANA NA MUME
Usilalamike kwamba kwa nini mpaka sasa hivi hujaolewa. Niambie sasa ni mara ngapi umepishana na mume!

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA