KUPENDANA PEKEE HAKUFANYI WATU WADUMU KWENYE NDOA AU MAHUSIANO KUNA HILI PIA.




KUPENDANA pekee hakufanyi watu wadumu katika ndoa, wapo wengi waliopendana ila safari yao ya mapenzi iliishia njiani.
💋💋Ili uweze kudumu katika ndoa yako, inabidi umjue mwenzako kiuhakika, ujue namna ya kumfanya afurahi na namna ya kumfanya achanganyikiwe kwa sababu yako.
💋💋💋Mwenza wako anaweza kukupenda sana ila kama huwezi kucheza na akili yake kwa namna ya kumfanya azidi kukuona bora na wa thamani, tambua mwingine anaweza kufanya hivyo na kumuondoa kwako.
💋💋💋💋Mapenzi hayadumishwi na I LOVE YOU pekee ama kushinda naye chumbani muda wote, sehemu yenye nguvu zaidi katika kuimarisha ndoayako ni katika kucheza na akili yake (Utundu, ubunifu) na kumfanya akuone wewe ndiye dunia yake.
💋💋Unaweza kumhonga sana na bado akaondoka, anaweza kukupenda sana na bado siku moja akaona heri aende.
💋💋💋Ili mapenzi yako yawe imara kwa mwenza wako, hakikisha karibu kila siku anakuwa surprised na wewe katika jambo fulani.
💋💋💋💋Watu hawadumu kwa sababu wanapendana, wanadumu kwa sababu kuna VIONJO vya kila aina katika ndoa yao.
💋💋DUMISHA NDOA YAKO💋💋

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA