KINACHOUA MAHUSIANO NA NDOA ZA SASA NI MWANAUME KUMZOEA MWANAMKE.
Kwanza ifahamike wazi hitaji la Mwanaume kwa Mwanamke ni kubwa kuliko vile Mwanamke anaweza kuwa na uhitaji wa Mwanaume japo Wanaume hujifanya kama hawana hitaji kubwa kwa Mwanamke wakati huo huo ANAKUWA NA WANAWAKE WATANO KWA WAKATI MMOJA huu sio ujinga na upumbavu kweli
?



MUNGU kamjaalia Mwanamke UVUMILIVU WA KI MWILI japo maumbile yake aliyawekea MOTO
kwamba iwapo Mwanamke atamhitaji mwanaume kwa moto
halisi WANAUME WENGI HAWAWEZI KUZIMA MOTO
WA MWANAMKE
kwa sababu hitaji la Mwanamke ni kwa Mwanaume mmoja ajuaye THAMANI YAKE.




Wanaume ni watu wa KUTAMANI na hilo ndilo limewafanya kumzoea Mwanamke hata kuyafanya MAHUSIANO pamoja na NDOA kufa na kusababisha UHASAMA wa Mapenzi 

Mwanaume huwazia zaidi MDINYO
kuliko PENDO ambalo lipo kwa Mwanamke ndio maana hujikuta hajui kwa hakika ni MWANAMKE yupi hasa anatakiwa awe MKE WAKE
Ila atakapokuwa AMETANGA NA NJIA NA HAJAONA WA KUMPENDA ndipo huangukia hata kwa MWANAMKE ALIYEJIKATAA
mwisho wake ni kubakia akilalamikia wanawake wote kwamba hawafai.




Mwanaume ambaye ANADUMU NA MWANAMKE NI YULE ANAYEMPA THAMANI MWANAMKE kinyume cha hapo NI MPITAJI TU
....


Sauti iko bien au doro?


