Mwanaume epuka kufanya mapenzi katika hali na mazingira haya.
Kumekuwa na wimbo wenye vilio kwa wanaume kuwa hawana nguvu za kiume huku wengne wakiishia kagoli kamoja.
Lazima ujue kuwa ngono ni kuwa na hapetaiti au ashki ikiwa apetaiti yako ipo juu basi ni rahisi kukinahiwa haraka hivyo uangalifu unahitajika.
Ashki humalizwa na mambo mbalimbali na ni vizuri kuyafahamu ili usije kumbwela juu ya kifua cha mwandani wako.
Mambo ya kuepuka wakati unataka kufanya ngono;
1. Mazingira ya joto
Pafomansi ya kufanyia kwenye chumba chenye joto huwa hairidhishi. Mwili huwahi kupata moto na kupoteza hamu haraka.
2. Usifanye mapenzi tumbo likiwa tupu.
Kama unanjaa au unamuda mrefu tokea ule labda masaa kuanzia manne kuendelea basi usijefanya mapenzi kwani ukijitahidi utapiga vibao viwili tuu vya uchovu.
Utafiti huo ni kwa hisani ya kiumeni, nikiwa yamenikuta hayo kwa zaidi ya wanawake saba tofauti tofauti nikajikuta nikiambulia fedheha.