USITHUBUTU KUWA NA MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUWA MPENZI.


1. Muongeaji sana.
Yaani yeye hupenda kusikilizwa tuuu hawezi kukupa hata wakati wewe kama mwanaume kuzungumza. Na anachokiongea yeye ndiyo kipo sahihi thubutu kumpinga, atakununia na kukasirika pale. Huyu hafai hata.
2. Wa hali ya juu.
Huyu msichana anakuwa hana mapenzi ya kweli kama ukianza kumpenda wewe. Nikimaanisaha kwamba wasichana hawa wakipenda wao hupenda kweli lakini ukimpenda wewe inakubidi uwe na maisha sawa na yeye au hata mkiwa wote wa kishua inawezekana asikupende akapenda kukuchuna ndio maana unaambiwa wanawake wenye pesa huwa hawaolewi kwa kuwa wanaweza wakawa na wewe halafu bado wakakucontrol.
3. Gold digger
sina kiswahili sahihi kwa hawa wa aina hii lajini hawa hupenda maisha ya hali ya juu kuwa na gari nzuri nyumba nzuri wasichana wa aina hii hupenda kuwa na wavulana au masuga dad endapo wakikuona wewe ni kapuku
4. Msichana wa club.
Wasichana wa klabu si wazuri kwa asilimia nyingi kwa sababu hawawazi kingine zaidi ya starehe na kila mwanaume anamjua huwezi kuwa na msichana ambaye anaenda club halafu asiwe na mwanaume wa kucheza naye kama wewe hutaenda. Usisahau safari moja huanzisha nyingine baada ya kucheza kuna kubadilishana namba kisha kuwa na ukaribu baadaye kutamani kubadilisha ladha halafu usaliti umezaliwa
5. Msichana uliyempata kwa kumpora mwenzio kwa sababu kama aliweza kumsaliti mwenzio kwa kumlaghai fahamu fika kuna mwenye uwezo pia naye akamlaghai akawa naye pia labda useme upo tayari na wewe kusalitiwa na usijisikie vibaya ikiwa hivyo
6 wanaolia lia ovyo.
Ingawa msichana ndiye hulia sana kuliko mvulana katika maisha na ndivyo ilivyozoeleka lakini kipindi cha kwanza tu unachoanza kuwa naye unagundua yeye ni mtu wa kulia tu usithubutu kwa sababu atakusumbua sana katika mipango yako hutajua ni chozi lipi la kweli ama anakuibia
May be an image of 1 person and text

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA