Vijue Vyakula Hatari Vinavyopunguza Nguvu za Kiume

 

Mbegu za Flax (Flax seeds):  
Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume yaani kuwa na nguvu za kiume. Baadhi ya vyakula visivyofaa kuliwa na mwanaume aliyetaka kuwa na nguvu za kiume ni vile vyenye asili ya homoni ya kike iitwayo estrogen. Hivyo sio kila vyakula vinafaa kwa mwanaume eti ilimradi tu vyakula hivyo vinasaidia kujenga mwili au kujaza tumbo wakati mtu akiwa na njaa.

Vyakula visivyofaa kabisa kuliwa na mwanaume kutokana na vyakula hivyo kupunguza homoni ya testosterone ni hivi vifuatavyo:

vyakula vinavyotengenezwa kutokana na unga wa mbegu za flax vimekuwa vikisifiwa kwa kuwa Omega-3 fats ambayo ni muhimu katika miili yetu. Hata hivyo mbegu za flax ni mbegu maarufu kwa kuwa na estrogen ambayo ni sawa kabisa na homoni ya estrogen iliyoko katika miili ya wanawake.

Flax seeds zina kiwango cha phytoestrogens mara tatu zaidi ya soya. Kama bado unafikiria kula vyakula vilivyo na mbegu za flax ili upate omega-3 achana na wazo hilo. Kama unataka kupata omega-3 kula samaki wenye mafuta mafuta (fish oils) utapata omega-3 ya kutosha.


Licorice: 
Huu ni mzizi ambao hutumika hasa kuondoa tatizo la msongo (stress) kwa watu wanaokumbwa na tatizo hilo. Pia mzizi huo hutumika kama sukari kwenye vinywaji kama chai au kahawa badala ya kutumia sukari ya kawaida.

Hata hivyo mzizi huu una estrogen ambayo hushusha kiwango cha homoni ya kiume ya testosterone kwa wanaume. Kuna utafiti ulifanywa ambapo wanaume 7 wenye afya walipewa gramu 7 za vidonge vya licorice kila mmoja kila siku.

Vidonge hivyo vilikuwa na kiasi cha gramu 0.5 za glycyrrhizic (kiambata kilichomo ndani ya licorice kinachopunguza testosterone kwa mwanaume). Baada ya siku 4 tu kiasi cha homoni ya testosterone kwa kila mwanaume aliyefanyiwa utafiti huo kilipungua kwa kiwango cha nusu ya kiasi cha homoni kwa kila mwanaume kilivyokuwa wakati wa kuanza utafiti.

Bia (Beer):
Sipendi kusema habari mbaya kwa wanywaji wa bia. Hata hivyo ni vema kusema ukweli kuhusu athari ya bia kwa wanaume. Bia imetengenezwa kwa humle (hops) ambayo kwa kiwango kikubwa inaleta hali ya homoni za kike kwa wanaume (highly estrogenic).

 Humle (Hops) ina kiasi cha 300,000 IU cha estrogen kwa kila gramu 100 za hops. Kabla ya mwaka 1487 bia ilikuwa ikitengenezwa kwa viambata (ingredients) ambazo zililenga kuifanya bia inaponywewa na mwanaume humfanya mwanaume awe na hali ya uanaume kweli kweli (more aggressive, horny, and socially dominant).


Hata hivyo baadaye Kanisa liliingilia uzalishaji wa bia na kutaka bia itengenezwe kwa viambata ambavyo vitamfanya mwanaume awe mpole au mtaratibu na sio mtu wa maguvu na ubabe ( to make men more feminine and sensitive). Hapo ndipo likazaliwa wazo la kutengeneza bia kwa kutumia humle (hops). Siku hizi bia hutengenezwa kwa viambata vitatu, hops, maji na malt.

Soya (Soy): 
Ina kiwango kikubwa cha Isoflavones ambayo ni kiuhalisia ni estrogen. Ulaji wa soya ni sawa na kula kidonge kimoja cha uzazi wa mpango (birth control pill). Kwa kuelewa zaidi madhara ya soya kwa wanaume soma hapa.

Spearmint:
Hutumiwa zaidi kama kiambata kwenye chewing gums, candies, na breath freshener au kwenye majani ya chai (herbal tea). Spearmint pia in akiwango kikubwa cha estrogen.


 Lima beans: 
Yana homoni za kike (estrogen) iitwayo inositol ambayo hupunguza kiwango cha homoni ya kiume (testosterone) kwa wanaume.

Whole grains:
 Ina gluten ambayo huongeza prolactin ambayo hupunguza kiasi cha testosterone.



 Soda: 
Unapenda kinywaji baridi yaani soda? Je unajua soda zimechangia sana tatizo la watu kuwa na unene au uzito uliopitiliza (obesity)? Tukiachana na suala la obesity hebu tuongelee kuhusu namna soda zinavyopunguza homoni za kiume (testosterone).

Chupa za plastiki ambazo hutumiwa na makampuni yanayotengeneza soda zimetengenezwa kwa phthalates ambayo hufanya plastiki ziweze kukunjwa katika umbo lolote (flexibility).

Phthalates ni estrogen! Kawaida ili kuondoa phthalates kwenye chupa za plastiki makampuni yanapaswa kuziacha chupa hizo zikae kwa mwaka mmoja bila kuweka soda ndani yake. Hata hivyo makampuni hayo mara tu baada ya kutengeneza chupa hizo huweka soda ndani yake na kuzipeleka sokoni kwa walaji.

Unajua nini kinatokea? Phthalates inaingia kwenye soda unayokunywa!!! Maana yake kama wewe ni mwanaume unaingiza homoni za kike mwilini mwako na matokeo yake unapunguza homoni za kiume!
Fast Food: 
Wewe ni mwanaume unapenda kula chakula kwenye Mgahawa wa Fast Food ? Ngoja nikupe maneno kwa nini usiwe na upungufu wa nguvu za kiume wakati unafakamia vyakula Fast Food. Ukienda Fast Food unaagiza vyakula vya nyama iwe ni beef au kuku au burger na unaagiza na soda then unaona mambo safi, sio? Haya hiyo nyama au kuku imetokana na wanyama waliofugwa na kulishwa junk grains na kupewa madawa kama antibiotics na homoni za kukuzia wanyama ambavyo vyote hivyo vina asili ya homoni za kike (estrogen).

Nyama hizo zinakaangwa au kupikwa kwa mafuta ya mimea kama vile soybean oil au sunflower oil ambayo yana estrogen! Baada ya hapo unashushia soda ambayo ina phthalates (homoni ya kike). Kwa ulaji huo unategemea kunako sita kwa sita uwe ‘super man’?!!

Hatua 11 Za Kufuata Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi


Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila kuongea na yeye.

Ama labda ni yule mwanamke ambaye umefanya kumuona majuzi na ni mgeni kwako.

Well, haya si matatizo makubwa kwani kama unataka kumtongoza na kumuwini hadi ufanye mapenzi na mwanamke basi unapaswa kuelewa mambo kadhaa yanayofanya kazi, na ujue mbinu za kutumia ili zifanye kazi kwa manufaa yako.
Kama hutaweza kuwa yule mwanaume ambaye anaweza kumshawishi mwanamke kirahisi. basi inaweza kuwa vigumu  wakati wa kujaribu kuteka atenshen yake.

Lakini usiwe na wasiwasi coz hizi hatua ambazo tutakupatia sahizi zitakusaidia pakubwa kuweza kumuwin mwanamke kirahisi.
So inakuwaje?

Kabla tuanze nataka ufahamu kuwa kila mwanamke anakuwa na ladha yake tofauti tofauti ikija kwa kuchagua mwanaume, na ukitumia ujanja wako vyema wa kutotambulika basi unaweza hata kulala naye kwa muda mfupi zaidi bila wewe hata kufikiria.

Hatua 11 za kufanya ufanye mapenzi na yeye


#1 Kuwa karibu na yeye
Kama unamtaka mwanamke basi kitu cha kwanza ni kuwa lazima umjue vizuri. Usijitokeze na ubabe mwingi wa kujiona beberu kwa sababu atakuona kama tishio kwake ama hatakuwa huru kuongea na wewe ama mbaya zaidi ataboeka na wewe.

Fanya kuongea na yeye ili umjue vizuri. Mtumie meseji mara kwa mara na tumia lugha ambazo zitakuwa sahili kwake ili akukubali haraka. Lakini usiwe na pupa ya  kuanza kumtongoza, la. Onyesha tu ule upendo wa kirafiki mara ya kwanza.

#2 Pendezeka
Hii hatua ndio itakayoamua iwapo kama umempendeza ama wampotezea wakati wake. Wakati unapoongea na yeye mara kwa mara jaribu kuangalia ishara zozote kutoka kwake iwapo yuko interested na wewe au la.

Hii hatua unapaswa kumtext na kumtumia jumbe ambazo zitalingana na mambo anayoyapenda. Mfano kama anapenda kuhusu mada za sinema basi pia wewe fanya tafiti kuhusu filamu ambazo anazipenda ili uweze kumpendeza.

Hii hatua pia unapaswa uchunge usiwe mtu wa kuboa kwani ataanza kukutenga polepole mpaka mwisho ujione mjinga. Ukimwona ameanza kujibu meseji zako kuchelewa ama kutokujibu siku nzima basi fahamu ameanza kukutenga. Hivyo basi hakikisha kuwa unakuwa mjanja katika hii hatua. 

#3 Kuwa active usiku wa kiza
Wakati mzuri na ule wa msisimko ni kutumia jumbe usiku wa kiza na kupigiana masimu. Usiku wa kiza ni muhimu kwa kuwa mwanamke ni rahisi kuitikia kile ambacho unataka wewe.

Hakikisha wakati unapoanza kumtumia jumbe anza na nyakati za jioni siku ya kwanza, saa mbili siku ya pili mpaka azoee kuchat na wewe mida hizo za saa nne hadi usiku wa kiza.

Pia hapa uchunge meseji zako zisikuje kwa uzito. Anza kwa kumchokoza polepole hadi ufikie pale ambapo unaweza kumtumia meseji za mapenzi hadi zile za kumpandisha nyege.

#4 Ishi maisha mawili
Hapa ni pale ambapo unahitajika kumchanganya. Kila wakati wa usiku unapomtumia jumbe na kumpigia simu hakikisha kuwa unamsuka, unamtongoza na unamrushia meseji za kimahaba. Lakini ikiwa wakati wa mchana umekutana na yeye usijaribu kuongea kama vile ambavyo unaongea naye usiku unless yeye mwenyewe aanzishe stori kama hizo – ishara ya kuwa amependezwa na wewe.

Halafu muhimu zaidi ni kuwa wakati mnapokuwa na marafiki wengine msiongee kuhusu chat zenu kabisa, yaani ni nyinyi wawili pekee ndio mnaopaswa kuongea mambo kama hayo. Hii itaingia kwa akili yake kuwa mambo mnayoyafanya usiku ni kati ya nyinyi wawili hivyo basi lazima kuna kitu ambacho kinaendelea kati yenu.

#5 Usimuonyeshe kuwa unampenda
Hapa ndipo wanaume wale wa ‘kawaida’ ndio wanapofanya makosa. Wanamwambia mwanamke kuwa wanampenda na kuwa wanahisia na wao. Yeah, ofcourse unampenda. Tayari anajua hilo, si ni kweli? Unamtext kila wakati, unampigia simu kila mara, na lazima atakuwa anahisi hio kemia.

Lakini ijapokuwa ana fununu ya kuwa unampenda, anahitaji uhakikisho wake kupitia kwa kukusikia wewe umwambie hivyo. Cheza kijanja, usimwambie na mapema. Utakuwa unamsisimua na ataathirika na wewe kihisia. Lakini kumwambia mapema hisia zako zitaua ile haja ya yeye kutakaa kujua zaidi kutoka kwako. Wanipata? [Soma: Jinsi ya kuathiri hisia za mwanamke]

#6 Ingia katika himaya yake ya binafsi
Wakati mko nyinyi wawili pekeenu, kaa karibu na yeye na ujifanye kama hukuona kama umekaa na yeye karibu sana. Umekuwa ukimtongoza mara kwa mara so ni wakati wako sasa wa kuingia katika himaya yake binafsi.

Iguse mikono yake ama vidole vyake wakati ambapo unaongea kitu flani, weka mikono yako kwa kiuno chake wakati unapishana na yeye ama unaenda ule upande mwingine, mguse huku ukimsifia, ama unaweza kumkumbatia sekunde zaidi wakati mnaagana

#7 Jenga tenshen ya kemia
Kufikia sasa, atakuwa anahisi hisia kila wakati ambapo unamgusa kimaksudi au kibahati mbaya. Hii ndio hatua ambayo unapaswa umfanye atamani miguso yako. Kumbuka hapa kuwa lengo letu ni kufanya mapenzi na yeye lakini tunaenda kimpango. Wakati unapokuwa unamgusa, hakikisha kuwa mkono wako unatomasa mgongo wake ama mikono yake. Msogelee karibu zaidi na umwambie maneno kupitia kwa masikio yake. Ongea kwa sauti nzito na iliyo ya kuvutwa wakati unapokuwa naye. Jenga kemia vile inavyohitajika na utamfanya atamani mikono yako ibaki kwake daima

#8 Cheza michezo
Kama umekuwa ukimsuka na umekuwa ukimjaza kila wakati unapokuwa umekaa na yeye, basi utakuwa umemtongoza na ameingiliana na unaweza hata kuenda kulala na yeye.

Lakini kama unataka kuchukua mambo hatua kwa hatua basi unaweza kurudi kule kwa text na uwe unamtumia jumbe za kumsuka na kumchanganya akili mara kwa mara. Hapa utakuwa unamtongoza huku ukienjoy. Tumeelewana hapa?

#9 Mazungumzo machafu
Umekuwa ukimtext, ukimsuka, na kumtongoza kila usiku. Na kama amekuwa akiingiliana na text hizo zako, hapa basi ndipo unaweza kuwa na ile ruhusa ya kuongea uchafu na yeye na kuchukua hatua ya juu zaidi. Tumia simu yako kuanza kwa kumtumia meseji zilizo rahisi ambazo zinaonekana safi hadi ufikie kule kwa kumtumia meseji chafu. Na bila hata kujijua mtajikuta nyote wawili mkisex chat pamoja.

#10 Mwagize mtoke out
Pindi ambapo mtakuwa mshafanya sex chat na mwanamke kupitia kwa simu itakuwa tayari ushafunga mchezo. Sasa kile kilichobakia ni kufanya mapenzi ana kwa ana. Mwambie mtoke out ama mwambie kuwa unataka kukutana na yeye siku moja. Tengeneza plan ya kukutana nyumbani kwake ama aje mkutane kwako. Hakikisha kuwa sehemu ni hizo mbili pekee na wala si kukutana sehemu za umma unless kama bado unajaribu kumtongoza mara nyingine. Na hapa ndipo utaamua kama mahusiano yenu yatakuwa ya mlalano ama yatakuwa ya romance.

#11 Fanya mapenzi na yeye
Na mwisho utakapokutana na yeye – tayari anajua ajenda ya kukutana na wewe – usimrukie papo kwa papo eti kwa kuwa tayari umefanya sex chat na yeye kwa simu.
Unaweza kuharibu mpango mzima ambao umekuwa ukiujenga kwa muda.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA