WEWE UNATAKA KUTUMIA VIDONGE ILI KUJIONGEZEA NGUVU ZA KIUME UWONI UNAJIUA KABISA !! 😁😁


Hebu tuliza akili yako waza kwa upana zaidi, leo hii wewe unaangaika kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume alafu unajiona kama vile umefanikiwa kumbe ndoo kwanza umejitafutia matatizo ... ulisha wai kumuuliza uyo anaekuuzia dawa za nguvu za kiume kama anauwelewa wowote kuhusu mambo ya Afya au ndoo anakuuzia tuu kwakua kakuona uko na shida na hauna budi kununua?

Alafu niwaambie kabisa nyie munae uza izo dawa mchezo wa kunifata na kuniambia eti nawaaribia Biashara zenu muache kabisa, kila mtu acheze kwenye nafasi yake na mukiendelea kunifata mutaona nitachowafanya panya nyie 😁😁 

Hapa nawaambia ukweli kabisa kwamba izo dawa sio mzuri achaneni nazo munajiuwa wenyewe bila kujua yaani madhara yake uwezi ona kwa siku mbili wala tatu ila kadri unavyozid kwenda mbele basi maumbile yako yanaanza kutoka kwenye Ramani ambayo mwenyezi mungu alikuwekea kwa usawa kabisa... tena unaweza kuwa shoga 😁😁 maana mashine inakuwa haina uwezo tena wakusimama kama zamani yaani linakua halina mbele wala nyuma... sasa wewe endelea alafu wanaume wenzio wakusaidie majukumu ya kumtuliza kipenzi chako. 

Wenzio wanawekeza kwenye vyakula bora matunda pamoja na mazoezi ambayo ni maalumu kwaajili ya kujenga Nguvu zaidi za kiume yaani kwanza mashine inakuwa Inanguvu sana ... 

Mfano hapa kuna kitu cha maziwa kule pembeni kitu cha Ndizi alafu kuna kitu cha Karanga... ohoo!! Nilitaka kusahau bhana kuna uyu anaitwa Tikiti maji na mbegu zake... bila kumuacha Parachichi... alafu kuna watoto zake ambao ndoo viungo bora kabisa.. kitu kama kitunguu ni balaa tupu ... unaijua chai ya Tangawizi wewe bila kuweka Sukari au ndoo unaisikia tuu kwa jirani? 😁😁 

Yaani hapa naweza kuelezea lakini kila mmoja akawa na uwelewa wake ila ukweli ni kwamba kuna vitu vingi sana ambavyo ki ujumla vinanguvu sana ya kukufanya ukaimarika tena bila hata kutumia nguvu ... 

Kama unasumbuliwa na ilo tatizo njoo nikupe muongozo mzuri wakutumia vitu bora vyenye kukujenga ki Afya... achana na madawa ya ajabu ajabu ayana Faida yeyote zaidi ya kukuaribu ki saikolojia na kukuacha ukiwa hauna tena uwezo wako kama zamani.

Whatsapp 0629241898
#Saikolojiatz

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA