HAKUNA KABILA ZURI AU BAYA KUOA /KUOLEWA ZINGINE NI IMANI TU
Taja sifa za wanyakyusa
Waha , wahaya na wachagaNAWAULIZENI NA NYIE
JE NI KABILA GANI MAMA /BABA ALIKUKATAZA KUOA AU OLEWA NALO
.
Eti kabila linachangia kiasi kikubwa katika tabia za mtu?
.
Au
Tabia anakua nayo mtu mwenyewe? Haihusiani na kabila?
.
NAULIZA HIVO KWASABABU.
Ukitaka kuoa,au kuolewa. marafiki lazima wakuulize ,unaoa kabila gani? Au unaolewa na kabila gani?
.
Ukifanya biashara ya ushirika ,utaulizwa unashirikiana na kabila gani?
.
HEBU NAMBIENI
Ivi kabila ndio linatambilisha tabia ya mtu ?
.
Au
Tabia ya mtu haihusiani na kabila?
nani ka kwambia Kuna kabila duniani halina hisia!! Nani kakwambia Kuna kabila lenyewe ni sugu haliwez kupenda... Nani kakwambia kuwa Kuna kabila ambalo wao ni wema tu au wao ni wabaya tabia tu!!!! Ngoja nikuambie Kitu my dear Hakuna mwanaume au mwanamke asiyependa kupendwa Hakuna binadamu asiye kuwa na mapokeo ya kihisia.. Kila binadamu hupenda pale unazifikia hisia zake.. Hakuna kabila ambalo kwao mahaba ni mwiko au hawapendi kupetiwa petiwa .. Kinachowasumbua wengi ni imani anaoa au anaolewa na mtu huku akiwa na hofu ya Yale anayoyasikia juu ya lile kabila anakomaaa kuwa makini na Yale anayoyasikia juu ya lile kabila anasahau kuwa romantic kuwa kimahaba mahaba.. Siku zinazidi kwenda anakomaa kufuatilia ooh nasikia wapare wako hivi.... Oooh wanyakyusa wako hivi... Oooh wadigo wako hivii hahaa my dear hata chuma ni kigumu ila kikiwekwa kwenye moto mkali huyeyuka.. Mapenzi yanamahitaji yake ya kihisia hayana mipaka humuingia yoyote hata pasipo yeye kujitambua.. Hakuna kabila ambalo linangao ya kuzuia kupenda.... Mapenz huja na kupotea kutokana na ww vile utavyo amua kuyaendesha........ Love comes to those who believe in love acha kuishi katika imani na kuujengea hofu moyo wako!!! Moyo wenye hofu hauwez kushinda. Moyo wenye hofu ni ishara ya udhaifu