Hakuna mwanaume aliyeko tayari kuoa mwanamke mwenye kiburi majivuno na dharau!

Photo by Maisha Halisi on September 13, 2020. Image may contain: 1 person, selfie and closeup.
Mwanaume anapendezwa na kuvutiwa na mwanamke mwenye tabia njema ya unyenyekevu, kujishusha, adabu nzuri na utii! na wanawake wenye tabia hizi Ndio huwa wenye kuwa na familia bora huku Nguzo yao kuu ikiwa ni uvumilivu, upendo, utii na unyenyekevu.
Mwanamke ukiendekeza majivuno yako na kiburi na kujisikia utazeekea nyumbani kwenu msaada pekee utakaooewa na wanaume ni kukupa uja uzito na kusepa kisha unabaki Utatizamwa tu na utapitwa kama vile hawakuoni!
Na mwisho utabakia kuharibu ndoa za watu ukianza na zile za kaka zako! Utawatesa wifi zako na kuwasema vibaya mwisho utaingilia hata ndoa ya wazazi wako!
Mwanamke anapokosa kuolewa na umri wake unapokwenda sana na kuwa mkubwa hubadilika na kuvaa roho ya shetani kabisa!
Hivyo hataona tatizo kuharibu ndoa za wengine na kuwa msumbufu kwa wachungaji aombewe ili apate mume kwa msaada wa kisulisuli
Rekebisha tabia zako mbaya naza hovyo ili Mungu akupe ndoa yako vaa utu wema adabu heshima na unyenyekevu.
Sijataja mtu ikikugusa we pasuka kivyako tu✍πŸ½πŸšΆπŸΌπŸ“’
#MadamKasema
@maisha_halisitz

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA