KWANINI WANAWAKE WA SASA WAKIINGIA MIGOGORO KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA ZAO NDO HUJIITA MA-IRON LADYπ€¦π»♂️
Kwanza nieleweke wazi MAPENZI ndo chanzo cha pilika pilika za wanawake kwa sasa, Maana wanajaribu kutafuta NGUVU zao wenyewe ili wasiwe wanyonge



Zamani Wanawake walidumu kwenye MAHUSIANO na NDOA zao kwa sababu waliweza kumtii Mwanaume, hata hivyo wanaume wa zamani nao walitimiza majukumu yao kwa MAHUSIANO na NDOA zao, ila kwa sasa wanaume nasi tumewavunja mioyo Wanawake kwa sababu tunakwepa majukumu yetu

Wanaume nature yetu kupewa utii na Mwanamke, wakati huo unajikuta uko chini ya Mwanamke kwamba yeye ndo MFADHIRI

Mwanamke kwa nature ni MTII ila kwa sharti la Mwanaume kumpa stahiki zake

Ni sababu gani Mwanamke anafikia kujiita IRON LADY?


Nawaambia ukweli HAKUNA MWANAMKE ANAHIMILI VITA YA MAPENZI BILA KUWA NA MBADALA.
Hawa ma-iron lady ili apate ujasili wa kujifanya MAPENZI hayampi shida, lazima X yupo nearby

Au kuna mmoja kati ya wale watongozaji aliwekwa kama KIPORO kwa ajili ya kupambana na STRESS za Mapenzi



Kichwa cha Mwanamke kinatulia zaidi awapo na Mwanaume wa kutengeneza ATTENTION kwake hata kama hampendi, Wanawake ni wabinafsi juu ya MAPENZI Yaani AMANI wanaipenda wao zaidi bila kujari upande utoao AMANI kwako, Ndo maana wanawake wanaojua kumpa AMANI mwanaume wanakuwa kwenye USALAMA ZAIDI japo wanawake hawajui hilo

Iron Lady makini ni yule anayejua kupambana na matatizo yake ki MAHUSIANO AMA NDOA bila mshenga wala wazazi

Hawa wengine tuwape cheo cha UBINAFSI kwamba wanajiandaa kwa kutunza MICHEPUKO Ili migogoro ikianza awepo mtu wa kumjari, Kinyume chake ni WABABE
