MWANAUME AKIPENDA ZAIDI MWILI WA MWANAMKE NI HATARI ZAIDI KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA YAO💯




Mwanaume ameumbiwa TAMAA lakini tamaa ya Mwanaume ikiangukia kwenye MUONEKANO WA MWANAMKE automatically Mwanamke anakuwa kwenye risk📍
Ndo maana wanaoteseka Kwenye MAHUSIANO AMA NDOA ni wale wenye MA-SHAPE yao kuliko hata wale wenye MIILI YAO PRIVATE 😂😂
Maana MUONEKANO WA MWANAMKE hufubaa pindi anapotokea Mwanamke Mwingine mwenye MUONEKANO zaidi ya aliyepo na hapo ndipo MDORORO WA HITAJI LA MWANAUME KWA MWANAMKE WA AWALI HUJIINUA😂😂
Ndo maana wanawake wanaojua kuficha MAUMBILE yao ili kutotengeneza muonekano machoni kwa wanaume hao wana nafasi kubwa ya kutuliza akili ya Mwanaume kuliko wale wanaojiandaa kwa kutengeneza MUONEKANO ili waonekane, Hao wanawavutia wanaume haraka lakini na kuachwa ni rahisi kama walivyopatikana💯
Wanawake wanao furahia MAHUSIANO AMA NDOA ZAO ni wale ambao Mwanaume alianza KUMPENDA na baadaye alipoingia Kwenye maisha ya Mwanamke ALIJAWA TAMAA JUU YA MWANAMKE HUSIKA.
Kama Mwanaume akitamani Kabla ya UPENDO 💘 hataweza kuleta AMANI KWA MWANAMKE maana tamaa ya Mwanaume ni kwa MAHITAJI YA NGONO namna anavyoweza kutengeneza starehe kichwani mwake Kabla hajakutana na Mwanamke na akikutana nae PENZI KUDUMU NI MAJAALIWA na akikinai wallah mhanga ni Mwanamke 📍
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA