PENZI LENYE MUONEKANO NI HILI HAPA.


Wengi tumekuwa watu wa kuwapa mioyo wenzi wetu huku tukiamini kuwa watatunza siri nzito tulizowakabidhi.
Kuwapa kila kitu ndio jukumu pekee ambalo kama wapenzi tunafanya na hii inatokea kwa sababu ya kuwapenda na kuwajali.
Ikitokea muda hujamthamini mwenzi wako ni dhahiri kuwa unatakiwa ujichunguze na kujitathimini.
Kwanini mwingine akupe moyo wake na muda wake kisha we uchezee, kuumiza moyo wa mtu ni kosa kubwa ambalo litakumaliza kila kukicha.
Tenga muda chunguza penzi lako kisha mwambie mwenzi wako kuwa unampenda kwa dhati hakuna kama yeye.
Hii itawafanya mfurahi kwa pamoja kitu ambacho kitakupeni ujasiri wa kupanga mikakati ya familia.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA