KUJUA MAPENZI KUSIKUFANYE UMNYANYASE MPENZI WAKO.


Kuna watu wanayafurahia mapenzi na wengine wanalia, wapo wanaotamani wenzi wao wasife katika huu ulimwengu na wengine wapo radhi wafe.
Kuwa mtundu katika tendo kusikufanye urushe moyo wa mwenzako na kumtoa machozi.
Kumbuka kuwa ule utundu wako atakuwa anaumisi pindi akiwa nawe.
Kikubwa mtengenezee furaha hata kama unahisi yeye yuko down katika hivyo vitu.
Bora uwe mwalimu wake ili hata siku akitoka basi uwe unamkumbusha namna ambavyo ulikuwa unamfundisha.
Naimani kama atakuwa na moyo wa huruma atarudi kwako kwa kukumbuka wapi ametokea.
Image may contain: text that says "Nakuhakikishia, kwa ajili yako nipo tayari kufanya jambo lolote mpenzi Nataka uhamie Yanga kenge wewe"

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA