JE UNAUMIZWA SANA NA MAPENZI HEBU SOMA HAPA

 




When love end .its means hata hisia juu yako zimekufaa..dont force someone to have feelings for you..utaishia kuumia..hisia haziombwi..zinajijemga zenyewe!..kuachwa ni hatua always huwa nawakumbusha hili..ni one step ahead kumfikia mtu sahihi..huwezi kumfikia mtu sahihi kama utaendelea kumkumbatia asiye sahihi..lazima ujitoe ufahamu kwenye mahusiano yasiyo sahihi ili ukaziishi ndoto zako na mtu sahihi..bahati mbaya tusichokijua ni kuwa tunapokuwa wanyonge sana kwenye mahusiano na kuona kama hatuna maamuzi ya kuweza kuwaacha hao wanaotuumiza ndio tunavyozidi kuwapa ujasiri wa kuendelea kuwafanya waendelee kutuumiza..kuna muda mpenzi wako lazima ajue kuwa you have your own decision ajue kuwa unaweza pia kumuacha akikuzinguaa..sasa unatia hurumaa..akisema nakuacha!!unaliaa anazidi kujimwambafai kuwa huna ujanjaa..sometimes mpenzi wako akikumbaia nakuacha mwambie its ok thankx for your time!!afu one kama ajaanza kusema ooh sijui inaonesha hunijar sijui......oh .. @maisha_halisitz NAKUMBIA ACHA KUWA MNYONGE SANA ...kumpenda mtu kusikufanye ukawa mnyonge ukitingishwa kidogo tu haulali usiku..unalia.kichwa kinauma..unatia hurumaa.no..be strong muda mwingine ukimuonesha mtu kuwa unaweza kuishi bila yeye utamfanya a

ijue thamani yako..ila ukijifanya ooh bila wewe siwezi ishi..na kweli unamanisha huwezi ishi bila yeye utapelekeshwa kama guta mtelemkoni...#MadamKasema
Zadi njoo lipia huduma za ushauri lipia tu elfu 10 Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA