MWANAUME UJUE UDHAIFU WA MWANAMKE NA TABIA ZAKE AWAPO MPWEKE
Mwanamke kwa maumbile ya ki jinsia ni watu wanaopenda zaidi HURUMA kuliko hata UPENDO wenyewe, Wanaume wameshindwa kumjua Mwanamke na mara nyingi wamembebesha lawama kwamba WANAWAKE HAWARIDHIKI
Hakuna Mwanamke ambaye haridhiki isipokuwa WANAUME ndo hamjui kupambana na mood za Mwanamke.
Jiulize swali hili;-


Ni wamama wachache sana ambao unakuta ana urafiki na Binti yake laaa hana mtoto wakiume, na kukuta baba ni rafiki wa kijana na anaye Binti Basi lazima Binti awe zaidi, ni mambo ya kisayansi hayo ndo maana TABIA NJEMA MTU ANAJIFUNZA KWAO kwamba ukaribu wa mzazi na mtoto huo ndo utamjenga kwenye maisha yake, Mwanamke ni mpweke sana akikosa Mtu wa kumpa AMANI
Wanaume wengi wanabembeleza kabla hajavuliwa nguo



Akiisha kula mzigo
anajifanya mbabe na hapo ndipo kesi ya MAPENZI huanzia, Naomba nielewe Mwanaume;-



Mwanaume anayepata nafasi kubwa kwa Mwanamke ni yule ajuaye kucheza na upande huu, Ukimhurumia Mwanamke hata kama hujampa kitu ATAKUWA NA TUMAINI YA KUPATA AKITAKACHO kwa sababu kuna hali ya MAPENZI huinuka ndani ya Mwanamke akihisi ANAHURUMIWA



Gari, Nyumba, Shamba havina nguvu Kwenye MOYO WA MWANAMKE zaidi ya HURUMA YAKO MWANAUME 

Kama huna HURUMA kamwe huwezi kummiliki Mwanamke mwenye AKILI
TIMAMU kwa sababu ndani ya UPENDO WA DHATI
wa Mwanaume Kuna HURUMA.

