SHIDA KUBWA YA WANAWAKE WAKISHAINGIA KWENYE NDOA NI HII




Shida moja ya wanawake wakishaingia kwenye ndoa wanadhani kuwa wanawamiliki wanaume, wanadhani kuwa mwanaume anatakiwa kufuata kila kitu wanachoshauri wao. Wanadhani kuwa mawazo yao yanakua ya maana, ni kweli wanawake akili zao zinawahi kupevuka, lakini pia ni kweli kuwa wanawake huwaza zaidi maisha ya mbeleni kuliko wanaume.

Lakini ni ukweli pia hakuna mwanaume ambaye anapenda kupangiwa kila kitu na mke wake. Mwanamke, kuna msatari mwembamba sana kati ya kuhsuari na kulazimishia, kama usipolihua hili basi jua kabisa ndoa yako inaweza kufa kwakua unadhani unamshauri mume wako kumbe unamlazimishia mambo na yeye kuamini kuwa unaaka kumkalia kichwani.

Mwanamke huwezi kumpangia mwanaume kitu chochote. Ukishaona kuwa kila siku mnagombana kwakua tu hafuati ushauri wako au kila akiacha kukubaliana na wewe unanuna basi jua uko katika hatihati ya kuiua ndoa yako na hautakuja kumpata wa kumpangia hivyo, sasa ukiona hilo kwako halifanikiwi, limeanziaga kwa wapenzi wako, likashindikana, umekuja kwenye ndoa nako imeshindikana jua hilo ni tatizo kwako acha kua hivyo, ukiaacha utakua umemua mchawi wa mahusiano yako, utadumu kwenye mahusiano . Badilika kabla mambo hayajabadilika.
#MadamKasema
@maisha_halisitz

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA