MWANAUME UKIONA MWANAMKE WAKO AMEACHA KUKULALAMIKIA KUHUSU MAMBO UNAYOMFANYIA JIHADHARI SANA.

 



Najua kuna kale kakipindi mkeo ukimkosea anaongea sanaa..anakupa lawama sana..anatafuta usuruhishi sana..anakushtaki snaa ili ubadilike..anaumia sana kuhusu tabia zako.kutwa anachat na @maisha_halisitz ampe mbinu za kukufanya ubadilike lakin wapi!?.dear men kama mkeo yuko kwenye haka kakipindi shukuru MUNGU kuwa bado unapendwa yaan MOYO wake bado mbichi juu yako..mpe thamani yake..badilika..kabdilishe maisha ya maumivu unayompaa..KUNA MUDA HUWA UNAFIKA HUTAONA AKILALAMIKA, HUTAONA AKITAFUTA SURUHU, HUTAONA AKIENDA KUSHTAKI..HUTAONA HATA NAMBA YA KIBONDE KWENYE SIMU YAKE ILI AMPE USHAURI..HUTAONA AKIHANGAIKA ANAENDA KWA WAZAZI WAKO KUSHTAKI..akifikia hii hatua brother brother ushampoteza mke!!kama ni CD umebaki na kasha tu..Moyo unalelewa sehemu nyingine kama sio umegeuka SUGU !na anakuchukulia kawaida tu!!huyu mwanamke kumfanya akupende itakuchukua hata karne nzima!!atacheat bila majuto moyoni!!maana moyo wake utajaa na visasi juu yako!..utaweka vikao vya kumfanya anadilike lakin itakuwa too late!!jua tu mwanamke ni dhaifu sana akipenda ila ni Jasiri sana akichoka kuumia!!..MI NAKUKUMBUSHA TU huyo mkeo unayempelekesha kama guta kuna SIKU HUTAAMINI ...ndio utajua kuwa SUPU ni mboga au kipasha tumbo..

Siongei sana, ila nimekutana na malalamiko ya wanawake wengi wakiniomba ushauri, kuna wanaume mnajifanya nunda sana.. Na mimi huku nikitoka dozi yangu my dia Boyz wafa tu.
#MadamKasema
Badilika, huyo ni mkeo, acha kuiga maisha.
Nimeeleweka au bado❓

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA