SIYO KILA PENZI NI LA KUDUMU, MENGINE NI MAPITO CHUKUA FUNZO.


Moyo wa mtu ni msitu mkubwa sana lile lililopo moyoni mwa mtu huwezi kulitambua na ndiyo maana mtu anaweza kukuambia kuwa anaumia ila usianini kama kweli yule mtu anaumia sababu hata hujaona jinsi moyo wake unafeel..
Kuna watu wamekuja maishani mwetu ili kutupa funzo kuwa kupenda kupita kiasi ni hatari sio tuu kwa afya yako lakini pia kunaweza kupelekea hata kifo.. Unaweza mpenda mtu kwa 100% na asione kama unampenda kwa kuwa upendo upo moyoni na moyo ni msitu mkubwa.
Kuna vipindi tofauti tunapitia katika mahusiano ila kipindi kigumu ni kile unapoachwa bila kosa na mwenzi wako asikutafute tena wala kukupigia simu.. Utaanza kumis zile out ambazo mlikuwa mnatoka, utapitia sms zake zote za maneno matam mara "oooh we ndo kila kitu changu naimani umeshushwa ili unipe furaha hakika wewe ndio furaha yangu na maneno mengine matamu
Utatamani arudi japo kwa sekunde 30 tuuu akuambie kuwa nakupenda ila wapi... Utakesha usiku kufikiria wapi umekosea utapitia sms kuona labda umekosea ila huoni kosa lolote unaamua kulia mwenyewe ndani.
Utakumbuka zile sms zake za usiku mwema na ile momment ya kila asubuhi lazima akupigie ili akujulie hali ila wapi sasa hivi hizo sms anazipata mwingine we upo unateseka na kukesha kumtumia sms kwa fujo ila ye anajibu kwa maringo... Hata ukimpigia simu ni mgumu kupokea na akipokea mnaweza kuongea kwa dakika tatu tyuuu wakati mwanzo mlikuwa mnaongea na kukusifia kwa kil sifa nzuri na zile nyimbo zote nzuri alikuwa anakuimbia kitu ambacho sasa ukipati...
Leo haumuoni tena na hana mpango na wewe embu nikuambie kitu ukitaka kuyajua mapenzi ni lazima uumie then ndo utajua kupenda ni nini na kama haujalia kwa ajili ya mapenzi basi juwa haujapenda bado .
Dondoo za mapenzi
Image may contain: 1 person, standing and outdoor

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA