Wanawake Mnajua sababu kwanini Wanaume wengi sikuhizi Hawaoi? Tukiachana na Kujiona sana .... Inatakiwa Pia tutambue Haya

1. Mwanaume Anapenda Mwanamke anayejiheshimu

2. Mwanaume Anapenda Mwanamke ambaye ni Mvumilivu

3. Mwanaume Anapenda Mwanamke anayejari na Kuthamini

4. Mwanaume Anapenda Mwanamke Mwenye Mawazo Chanya (Future Vision)

5. Mwanaume anapenda Kutodharauliwa

6. Mwanaume Anapenda Maamuzi yake yaheshimiwe

7. Mwanaume Anapenda Mwanamke anaye Rizika

8. Mwanaume Anapenda Kubembelezwa

9. Mwanaume anapenda Kusikilizwa

10. Mwanaume yoyote hapendi Mwanamke anayejiona na anayejiskia

share na kulike dondoo za mapenzi