KWANINI MAHUSIANO NA NDOA ZA SASA WANAWAKE NDO WANAONEKANA WAHITAJI ZAIDI YA WANAUME


🤔
Tangu enzi na enzi MAPENZI MMILIKI WAKE NI MWANAMKE ndo maana hata maandiko yanamuasa Mwanamke ASIYACHOCHEE MAPENZI📍
Raha na fahari ya MAPENZI aijuaye ni Mwanamke ndo maana Mwanamke akipenda anakuwa kwenye IMANI YA UHUSIANO/NDOA aliyopo.
Mwanaume ametawaliwa na tamaa ndo maana hawezi kuyamiliki MAPENZI yakaleta uhalisia zaidi husababisha maumivu, Mwanaume hana uwezo wa kuyachochea MAPENZI kwa sababu yeye hatumiii akili kutoa MAPENZI ila anatumia mwili😂
Ndo maana Mwanaume anatakiwa kutoa UPENDO WA DHATI kwa Mwanamke ili kumfanya Mwanamke kuyajenga MAPENZI MOYONI MWAKE💯
Mwanamke akijenga mapenzi MOYONI mwake moja kwa moja akili yake inatwama kwa Mwanaume huyo na hapo ndipo MWANAMKE HUYACHOCHEA MAPENZI.
Ndoa nyingi zinaharibika kwa sababu kuu moja;-
👉🏼 WAKATI MWANAMKE AMEYACHOCHEA MAPENZI MWANAUME ANAKUWA HANA HAJA NA MKEWE📍
Ndo maana ya migogoro katika ndoa za leo, na Kwa sababu wanaume hawawezi kuyachochea MAPENZI kwa ujumla Mwanamke anajikuta hafurahii MAPENZI YA NDOA YAKE mwisho kabisa ni kuangukia usaliti, na kumbe tatizo hapo ni dogo tu, Pengine mawasiliano ndo yanakuwa madogo kufikisha ujumbe wa HISIA.
Wana ndoa wengi hawazungumzii MAPENZI ila wanajidai wapo ki future zaidi na hilo ndilo anguko lao, Unakuta Mume na Mke wanaongelea MAISHA ZAIDI na kuhusu MAPENZI wanafanya kwa kubakana, tena afadhali mwanaume unaweza kubaka na ukafikia kileleni ila sio Mwanamke, Mwisho kabisaaa mnabakia kujenga majumba pamoja na kununua mashamba ila MAANA YA NDOA IMEKUFA.
Kila mmoja ametimkia nje ya ndoa kutafuta MAPENZI na ukitafuta Sababu unagundua kila mmoja anayawasha MAPENZI kwa mtu wa nje, tena kwa gharama wakati ndani hawawezi hata kutamaniana😂😂
Chanzo cha hayo yooote ni;-
👉🏼 MAWASILIANO YA MAPENZI KUKOSEKANA.
Ila akitamaniwa na kidumu ama ki kahaba huko nje masikio yanamsimama kama popo 🐻
MAPENZI NI YALE YALE tofauti kubwa huwa ni HISIA🕺
Image may contain: one or more people and people sittingShare

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA