MWANAUME MHESHIMU NA KUMJALI MKE WAKO KWANI BABA YAKE AMEIWEKA DUNIA YAKE KWAKO💯


Maisha ya Mwanamke yanamhitaji MWANAUME MWENYE HESHIMA PAMOJA NA UWAJIBIKAJI na hapo ndipo maana ya MKE itatajwa.
Wakati mwingine MWANAMKE ndiye chanzo cha matatizo yake kwa kuamini katika UPENDO WA MWANAUME ambaye hawezi kumheshimu wala kumjali, Upendo wa MWANAUME haupo kama wewe mwanamke una-boost kwa kujinunulia mahitaji kisa una nafasi ya kufanya hivyo⛔
Kwenye UPENDO hakuna sheria lakini watu wengi kwenye MAHUSIANO/NDOA hawaoni maana ya MAPENZI bila kuweka sheria, huwezi kusema upo kwenye UHUSIANO AMA NDOA na mtu mme ambaye yeye anajiamini kupitia jinsia yake, badala ya kuwa ndani ya UPENDO.
Mwanamke hawezi kuwa Kwenye PENZI LENYE FURAHA NA AMANI kama hajawa na MWANAUME ambaye atasimama kuitunza Familia yake pamoja na kumheshimu mkewe, Maana kama hakuna MAHITAJI PAMOJA NA HESHIMA huwezi kuutaja UPENDO WA DHATI 💘
Image may contain: 1 person, close-up

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA