UJUMBE KWA DADA ZANGU 💕💕💕



💕💕💕💕💕
*💕 Usikimbilie kuolewa kisa unaitaka ndoa sherehe ya siku moja unayoitamani inaweza kuwaribia mfumo mzima wa maisha yako mshauri mola wako kwanza*
*💕Mwanamume atakayekupenda ni yule atakayekuja mbele ya wazee wako kukuposa na sio yule atakayekusimamamisha vichochoroni*
*💕Mchague mwanamume kwa dini yake wala sio sura na wengi wa mali kwani vyote ni mapambo ya duniana*
*💕Ingia kwa ndoa kwa kuwa upo tayari sio kwa jili wengine wanaingia itakungarimu kwani ndoa yaitaji akili na ukomae kwani unaenda kuanza maisha yako*
*💕Usijaribu kumshikia mwanamume mimba kisa unataka ndoa zinaa ni haramu nakufanya hivyo nikuitia aibu familia yako jiheshimu kwani ndoa haina fumular*
*💕Usingie kwa ndoa sababu ya uzuri ulio nao kwani uzuri wako waeza mvutia mwanamume yeyote akakuoa ila tabia yako ndio itamua utadumu kwa ndoa kwa muda gani*
*💕 Muwache mwanamume akupende kwa dini yako na tabia njema wala sio umbo na uzuri wako kwani kama mwanamume atakupenda kwa jili ya uzuri wako hatuwacha kupenda wengine labda wazuri waache kuzaliwa*
*💕MUOMBE SANA MUNGU AKUJALIE MUME BORA MWENYE KHERI NA WEWE KWANI SIO KILA MWANAMUME ANA SIFA YA KUWA MUME*
*💕UKUMBUSHO TU*
*💕BY ADMIN*

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA