UNAJUA NI KWANINI SIMU ZAKO HAZIPOKELEWI NA ANACHELEWA KURUDI?




MTEJA; “Nampigia simu usiku kucha hapokei………”

JIBU LANGU; Tulia kwanza, unampigia simu mtu usiku kucha hapokei hujui sababu? Shida nikuwa, una kisirani, miss call ni mbili, ukiona unapiga simu mara kumi, kila ikikata unapiga jua kuwa ndiyo sababu simu zako hazipolewi!

Ni kweli kachelewa kurudi, lakini kwanini upige simu kisharishari, unapopiga simu mara kumi ndani ya lisaa limoja, au ukatuma meseji magazeti za malalamiko mhusika ngumu sana kukutafuta tena, lazima achelewe ili kukwepa kisirani, hivyo kama unataka abadilike acha kupiga hizo simu!

MWISHO

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA