Jinsi ya kumridhisha mwanamke katika tendo la ndoa
Kitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa na raha,ni lazima ukiandae vizuri.. Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha raha kwa kutoelewa ni jinsi gani wawaandae wapenzi wao..
Tatizo hili lipo pande zote wanaume na wanawake..Lakini kwa kiwango kidogo wanaume wanajitahidi kuwaandaa wapenziKitu chochote ukitaka ukifanye ukiwa na raha,ni lazima ukiandae vizuri..Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha raha kwa kutoelewa ni jinsi gani wawaandae wapenzi wao.. Tatizo hili lipo pande zote wanaume na wanawake..
Lakini kwa kiwango kidogo wanaume wanajitahidi kuwaandaa wapenzi wao kabla ya kuingia uwanjani.
Baadhi yao wanatambua sehemu za kuamsha hisia za wapenzi wao na wengi hawajui kabisa.. Mnapoandaana vizuri kabla ya mechi kuna wasaidia wote kuingia uwanjani huku akili na mwili vimechangamka kwa hisia kali za mahaba..
Kwa mwanamke inamsaidia asiweze kuchubuka wakati wa tendo kwa sababu sehemu zake za siri zitakuwa tayari zimelainika.. Pia huwasaidia kusogeza hisia zao karibu kwani wanawake wengi hisia zao huwa ziko mbali, ndio sababu wengi wao huwa hawafikii mshindo kwa sababu ya kukosa wanaume wanaojua kuandaa vizuri.
JINSI YA KUMUANDAA MPENZI WAKO:
Potezeni saa moja mkiwa katika maongezi ya kimahaba.,huku mkiwa mmekaa 0 distance. Taaratibu mikono yenu ianze kutembea kwenye mwili wa kila mmoja. Hakikisha inafika kila sehemu ya mwili wa mpenzi wako.
Kutanisheni midomo yenu, ndimi zenu zikutane, taaratibu nyonyaneni kwa zamu.. Kila mmoja apenyeze mkono wake na ashike sehemu za siri za mpenzi kwa dakika 5 zinatosha kabisa..
Penyeza ulimi wako masikioni kwa mpenzi wako.. Uuzungushe taaratibu huku ukimpumulia hewa pole pole.. Shika chuchu za mpenzi wako kwa ncha ya vidole,taaratibu zifinyefinye bila kumuumiza. Unaweza pia kutumia ulimi..
Kumbuka usiwe na haraka katika kumuandaa mpenzi wako…Naomba kwa leo niishie hapa,mengine tutajifunza kwenye mada zingine…