Meseji nzuri Za kumjalia hali umpendaye

 


Related imageT.gifSMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu

Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda
Ila nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika.

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema

Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine

Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,
napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,
mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu
yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda

🔥♥♥♥


T.gifSMS ya kumshawishi mtu kuwa una upendo wa dhati

moyo upendao kwa dhati.
haujalish ni kababu au chapat.
n wng wa upendo wenye tarakimu kama somo la hisabati.
kumpata akupandae kwa dhati pia hyo n bahati.
nimfikiriaye kwa sasa nahc anaupendo wa dhati.
Nitashukuru anikaribishe naye nimuonyeshe upendo wa dhat.
Huu ni ukaribisho wa penzi la dhati.
wenye wing wa furaha na Lenye pendo la kitanashati.

🔥♥♥♥


T.gifSMS kwa mpenzi anayeishi mbali

Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Dunia
tofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,
hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.

🔥♥♥T.gifSMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako akuache umpende tuu

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

🔥♥♥♥


T.gifMeseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye

USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na
wali,
usizidishe siki akawa mkali.
Ni
mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.

🔥♥♥♥


T.gifUjumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi

maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini ni
makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.
inaniuma sana

🔥♥♥♥

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA