MWANAMKE, USIOLEWE NA TAJIRI, OLEWA NA MWANAUME MWEMA HUYO ATATUMIA MUDA WAKE KUWA NAWE AKIJARIBU KUITUNZA FURAHA YAKO.
Nisome Mwanamke na uelewe maana ya andiko hili;-


Wanawake wengi wanajikuta wakiangamia kwenye MAHUSIANO pamoja na NDOA kwa sababu ya kumtazama Mwanaume anavyojiweka ki maisha yake, lakini wanasahau kwamba kabla ya MAHUSIANO au NDOA mwanaume amejawa DRAMA "uongo" na ndo maana wanawake Wengi wanapoingia ndani ya maisha ya Mwanaume wanajikuta wakijutia, kutoka inafikirisha na kubakia inaleta maswali

Mwanamke Fahamu kwamba;-


Lakini shida inakuja pale utakapoingia kwenye maisha ya mwanaume na kukuta tofauti na aliyokuahidi na hapo ndipo huwa mnakumbuka mlikotoka na USALITI KUTAJWA

Mwanaume sahihi hatazamwi kwa UMARIDADI AU UTANASHATI WAKE wenyewe wanajiita wazee wa BRING BRING 

Mwanaume mtazame kwa MOYO WAKE ili alete ukombozi kwa MOYO wako juu ya FURAHA NA AMANI

Kuliko kuwa na tamaa ya kuwa mwanaume ambaye ataonekana kwa marafiki ili uonekane una HANDSOME BOY
wakati hawezi kuwa chanzo cha FURAHA yako.
