LEO NAOMBA NIONGEE NA WAMAMA WANAO LEA WATOTO BILA WAZAZI WENZAO.
Kwanza nikiri kabisa:-
KILA MWANAMKE ANAPASHWA KUTENGANISHA MAPENZI NA UZAZI.
Namaanisha kwamba Kuna anguko kubwa kwa wanawake wa sasa kuwa KWENYE MAPENZI MOTO MOTO Kabla ya kubeba mimba akili yote inahamia kutarajia Mtoto halafu anasahau kwamba Kuna mtu aliyesababisha furaha yake hiyo, Na ukifuatilia Mahusiano mengi yanafia kipindi cha UJAUZITO hadi Kwenye KUJIFUNGUA na baadaye Kwenye MALEZI YA MTOTO kwani Mwanamke anahamisha akili yake kwa Mwanaume na kubakia kwenye UMAKINI WA MTOTO
Kumuweka mbali Mwanaume ki MAHABA unafikiri anakaribiaje ki akili kwako kwamba ana Mwanamke
Wanaume mnatuzaa wenyewe ila mnaangalia watoto zaidi kuliko alokuzalisha mwisho wa siku anajitokeza Mwanamke nae kazalishwa na Mwanaume Mwingine anagundua makosa yake anakwenda kuwekeza MAHABA KWA MWANAUME AMBAYE HAKUMZALISHA mwisho anakuwa mshindi, Ndo unakuta mwanaume anatunza mtoto sio wake na hatunzi wa kwake kwa sababu gani?
KUJITOLEA JUU YA UPENDO NI ZAIDI YA FAMILIA.
Japo wengi wanaamini akizaa ni chanzo cha FURAHA YA MWANAUME hilo ni sehemu ya Maisha ila maana ya MAPENZI NI UPENDO bila kuonyesha UPENDO ni rahisi kuachwa na Mtoto wako, Ifike mahala Mwanamke ajue kwamba:-
MTOTO NI KAMA ZIADA ILA LA MUHIMU NI MAPENZI.
Kila Mwanaume anajua kwamba Mtoto ni muhimu kujenga family ila MAPENZI YALITANGULIA so ujue kuwekeza MAPENZI kwa Mwanaume wako haijalishi una MIMBA ama UMEZAA maana hawa watu kila anapojua mfuko una pesa ya kutimiza mahitaji yake faster akili yake HUWAZIA MAPENZI