KWANINI WANAUME HUKINAI MAPENZI YA MWANAMKE ALIYESHIRIKI NAE NA KUTAKA MWINGINE


πŸ—£
Mwanaume ki maumbile ni mtu anayeweza kujitengenezea Radha ya Mapenzi kuliko alivyo Mwanamke.
Mwanaume kukinai Mapenzi ya Mwanamke ni zao la udhaifu wa ubunifu wa Mwanamke husika, Maana kama ni sababu ya Mwanaume kutimiza haja yake ki mwili πŸ‘™ tayari Mwanamke aliye nae ni ukamilifu wa hilo, Kwa sababu Mwanaume anafika kileleni kwa Mwanamke yeyote haijarishi ni MAUMBILE GANI ALIYO NAYO MWANAMKEπŸ‘ 
Maana mwanaume ili afike kileleni anahitaji MSUGUANO KWENYE MISHIPA YAKE tofauti na Mwanamke ambaye yeye ili aweze kufika kileleni anahitaji mambo makuu mawili;-
πŸ‘‰πŸΌ UTULIVU WA AKILI YAKE.
πŸ‘‰πŸΌ MAANDALIZI YA HISIA ZAKE.
Yote hayo ni jukumu la mwanaume, japo kwa papara za wanaume wa sasa hawapo kumpa starehe Mwanamke BURE mpaka kuwe na kitu ndo maana kwa udhaifu huo wa wanaume kila Mwanamke anajituma ili KUPATA CHA KUMSHAWISHI MWANAUME japo apate Radha inayoendana na hitaji lakeπŸ˜‚
MwanamkeπŸ—£
πŸ‘‰πŸΌUWE MBUNIFUπŸ‘™
Kukuruka mwanangu, jitume ki MAHABA ili uwe namba moja kwa mwanaume wako, haijalishi ni mumeo ama uko nae kwa mahusiano, ukiona Mwanaume anarudi rudi kwako ujue YOU ARE THE BEST πŸ’ͺ🏼
Maana yake ile hali ya mwanaume kukinai haijawa kwako ila kwa hao ambao anawatoroka na kuja kwako, Mti ukiwa na mizizi huchanua 🌳 na kutengeneza kivuli Ila ukikatwa mizizi hukauka hata kivuli hutoweka, thamani yake KUNIπŸ˜‚
Usiwe gogo kitandani, usikariri style moja, geuka geuka pengine kuna ambapo atakoleaπŸ•ΊπŸ»
Usione michepuko inakuwa na THAMANI ukadhani ni sababu ya uhuni wa mwanaume Muda Mwingine TENDO LA NDOA linahitaji mabadiliko kila mara, na hilo ndo huwaponza wanaume wengi, Kwani Wewe ni Mzuri na UNAVUTIA SANA KUTAZAMWA ila tatizo HUNA MAAJABU FARAGHANIπŸ—£
Marashi mazuri, utuli chumbani pamoja na usafi wako havitoshi kukamilisha BURUDANI CHUMBANI japo ni moja ya ushindi wako, ila kamilisha UTEKAJI WA MAPENZI kwa kuwa mbunifu na ujitume uwapo kwenye UWANJA WA MAPENZI.
May be an image of one or more people, people standing, outerwear, tree and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA