Sababu za kukufanya uingie katika NDOA


Kumekuwa na hali ya kukata tamaa miongon mwa vijana na mabint kuhusu kuoa na kuolewa. Weng mioyo yao imejaa maumivu na wengine wanaogopa tokana na simuliz za kutisha ndan ya Ndoa.
Nakushauri matatizo ya mwenzako sio yako,hivyo usijipime kupitia yeye..Subir yako ndipo akil itakukaa sawa.
Usiogope kuoa au kuolewa kisa walio tangulia wanaumia.
Ingia ktk ndoa kwa sababu:
1. KUUMWA,kwa mfano umebanwa na homa kali usku wa manane hata kushika simu huwez,nan wa kukusaidia kama sio mwenza wako?
2. KULEA WATOTO:, hebu fikiria umetangulia mbele za haki,mwenza wako atabak nyuma kulea watoto.bila kujal kama watateseka au la
3. FARAJA_kuna wakat tumekumbana na mambo meng yenye kuumiza akili. Lakin ukiwa na mtu muelewa atakutia moyo ktk magum yako
4. MAENDELEO ya FAMILIA_ukiwa ndan ya ndoa rahis kusaidiana hata mawazo ili kuinua kipato cha familia. Haijalish mwenzako anachangia kias gan cha pesa,uwepo wake ni nguvu tosha
5. HUPUNGUZA GHARAMA za MAISHA
Ukiweza kuoa au kuolewa utapunguza kula magengen au kutumia pesa ovyo. Pia ni heshimu kwa mtu aliye OA au KUOLEWA
Kumbuka
Hayo ni pale tu umpate mtu mwaminifu na mvumilivu lakin pia muelewa.nje ya hapo utalia tu.
Jaribu bahat yako kuingia ktk ndoa
Lakin iwe kwa mtu unae his atakufaa ktkKUOLEWA
Sawa DADA na KAKA una biashara zako au kaz yako yenye mshahara mzuri,hii isikupe jeuri kuwa huwez ingia ktk ndoa. Kuna wakat pesa haina nguvu kuleta furaha
May be an image of 1 person, standing and food

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA