Tabia sugu za wanaume wa kitanzania


1. Ukali
2. Ulevi
3.Kuchelewa kurudi nyumbani
4. Kupenda marafiki kuliko familia
5. Umalaya
6. Kuficha mambo yao ya maendeleo
7. Kupenda hawara zao kuliko mke
8. Ubabe
9. Kusafiri bila kuaga kwa wake zao zaidi ya kuaga kwa mahawara zao
11. Uchoyo
12. Bajeti kali nyumbani kwenye baa mmhh!?
13. Kusaidia watu baki kuliko ndugu zao
14.Kosa dogo ndani ya nyumba kelele nyingi
15. Kunuka miguu
16. Hupenda kutoa ofa sana kwenye baa nk. akiwa na dem (kutaka sifa )
Kweli au sikweli?

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA