MWANAUME UKIISHI NA MWANAMKE HAKIKISHA UNAFANYA YAFUATAYO

Mwanamke kila siku anatongozwa hata kama umemuoa. Hivyo ukiishi na mwanamke hakikisha kuwa
(1) Unampenda.
(2) Unamheshimu.
(3) Unamtunza.
(4) Unamletea zawadi hata kama ni ya bei ndogo.

 Ukiishi na mwanamke kuwa mwenye busara na kumheshimu. Usimkatishe tamaa mshirikishe kwenye mawazo yako na umfanye mwenye thamani ili awaone wanao mtongoza wa kawaida.

 Huwezi kumlinda Mwanamke maana yeye hujinda mwenyewe katika maisha yake.
Hakuna anayeweza kumlinda Mwanamke kwa sababu hata ulipomuoa ulimkuta na mtu na alikuwa anampenda ila alikuwa hana malengo ya ndoa.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA