WANAUME WANAVYOWEZA KUFILISIWA KILA KITU KIRAHISI NA MWANAMKE WA AINA HII .

 1. Wanaume wengi licha ya usomi wao bado wanaweza kufilisiwa kirahisi sana na kimada aliyeishia darasa la saba tu akiwa na tako na sura nzuri.

.
.
2. Wanaume wengi licha ya usomi na PhD lakini akikutana na kasichana kazuri karembo kaliishia darasa la nne kanaweza kumfanya ATUPILIE MBALI NDOA yake NA KUPOTEZEA KABISA watoto wake aliowazaa mwenyewe.
.
.
3. Mwanaume anaweza kuwa DAKTARI bingwa wa moyo na matatizo mengine yahusuyo afya ya mwili wa binadamu lakini utamkuta licha ya UDAKTARI WAKE BINGWA ni mlevi wa SIGARA hujapata kuona duniani.
.
.
4. Licha ya usomi na kuelimika lakini wanaume wengi huongozwa na mama zao kama mazombi yasiyo na AKILI. Yaani mama ndio analipangia matumizi ya hela na kila kitu. Mamaake mzazi ndie anampangia jinsi ya kuishi na mkewe kama JINGA FULANI HIVI. Ukiuliza eti lina bachelor degree in Business ADMINISTRATION lakini haliwezi ku ADMINISTRATE familia yake binafsi.
.
.
5. MWANAUME anaweza kusifiwa ni genius kiakili kazini na kila mahali lakini ukamkuta AKILI hizo hazipo kwenye kuyaendesha maisha yake binafsi yaani sehemu kubwa ya maisha yake yanaendeshwa na MARAFIKI zake ambao ni form four darasa la saba na wengine form six na wote ni FAILURE WATUPU.
.
.
6. MWANAUME anaweza kuwa daktari wa afya ya binadamu anajua madhara ya kumuingilia mwanaume mwenzake au mwanamke kinyume na maumbile ni HATARI kwa afya yake na ya anaemuingilia LAKINI unaweza mkuta hospitali anapigwa bomba kutolewa kinyesi kwenye uume wake na ni DAKTARI huyo.
.
.
7. MWANAUME anaweza kuwa ni MSOMI SANAAAA ana degree 3 lakini unaweza mkuta ananunua kahaba na kwenda kufanya nae SEX bila kutumia kondom na nyumbani kaacha mke mtulivu anamlelea watoto wake.
.
.
8. Unaweza mkuta mwanaume anajisifia ana akili sana na ni msomi sana lakini kwenye MAPENZI utamsikia analopoka daaah yani mimi sipendi kabisa KUTUMIA KONDOM kwenye sex. Harafu anajulikana kuwa ni mzinzi sana na mtu wa kubadilisha wanawake kama nguo. Dada ukiolewa na mwanaume sampuli hii jiandae kufa unajinyea mavi maana huyu ni CANDIDATE WA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KAMA SI LEO BASI VERE SOON.
May be an image of 1 person, standing and food

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA