BADO NATAFUTA SEHEMU YA 7

BADO NATAFUTA
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 06
WhatsApp:0678926045
Heppy mwanangu umemtoa wapi huyu nyang'au asiesikia jana nilimwambia nini na Leo kafanya nini, aliongea baba heppy kwa hasira sana huku akimsogerea mniga ambae alisimama bila hata ya uoga,
'"Unatoka wapi mbwa wewe sasahivi usiku, aliuliza baba heppy
'"Natoka zangu kwa john, alijibu mniga
'"Oh kwahio huyo john ndo anaekufundisha bangi mbaka unakuwa hunisikilizi Mimi mzazi wako sasa Leo wewe msenge utaniambia, aliongea baba heppy na kuvuta mkanda wake huku Estar mtoto mbeya akadakia,
'"Baba piga sana huyo mbwa maana kanajifanya kanajuwa harafu Mimi sikapendi haka sijuwi kwanza tu natamani umuue kabisa yani, aliongea Estar bila hata kujari,
'"Kweli kabisa mwanangu hata Mimi huyu mbwa namchukia sana yani, aliongea mama heppy huku baba heppy yeye alikuwa anaendelea kumpiga mniga ambae alikuwa kajikaza kiume tu maana mzee alikuwa anampiga bila hata huruma yani heppy mwenyewe alishindwa kujizuia tu machozi yanamtoka, kama yeye ndo anapigwa yani,
'"Baba inatosha bhana kumpiga mtoto wa watu kama punda jamani kama humtaki siumfukuze tujuwe moja kuliko kumtesa kila siku tambua huyu sasa amekuwa na nikijana anaetakiwa kujitafutia maisha sasa akiendelea kushinda humu ndani itakuwaje, aliongea heppy huku machozi yanamtoka na kumshika mkono baba yake asiendelee kumpiga mniga ambae machozi yanamtoka tu,
'"Hiii ni Mara ya pili mkewangu mwanao ananizuia kumpiga mniga inamaana yeye anajifanya mama huruma sana au sasa Leo ngoja niwachanganye wote, aliongea baba heppy na kumtandika bonge LA kofi heppy ambae alienda kudondoka kwenye sofa huku kashikilia shavu lake,
'"Haaa baba heppy unataka kuniulia mwanangu jamani unampigaje hivo, aliongea mama heppy na kukimbila kwa heppy ambapo alidondokea,
'"Mama kaache nako hako kafundishe maana kana kihelehele kweli yani mtu hata sio ndugu yake kanajifanya kumuonea huruma, aliongea Ester kwa zarau kweli,
'"Nyamaza na wewe heppy bado mdogo kwanza ndo ampige kama hivi jamani, aliongea mama heppy na kumfanya mumewe ambae akamuacha mniga na kwenda hadi pale alipo heppy na mkewe
'"Nisamehe mwanangu heppy ni hasira mama yangu, aliongea baba heppy kwa upole sana kama sio yeye aliokuwa anafoka kwa hasira sana yani, mniga akamuangalia heppy ambapo heppy nae akamkonyeza mniga bila ya wazazi wao kujua ambapo mniga alielewa sigino hiyo basi fasta akaondoka pale sebleni na kuingia jokoni huku njaa inamuuma sana alikikuta chakula na kuanza kufakamia kwa haraka haraka sana hadi akashiba na kurudi tena sebleni ambapo sasahivi alikuta mama heppy kamlaza miguuni mwanae huku heppy akamtazama mniga ambae akampa ishara kuwa tayali kafanikiwa, hapo mniga ingawa alikuwa na maumivu ya viboko Ila akaingia chumbani kwake ambako akajitupia kitandani huku anafuraha kidogo maana kashiba ingawa kwa kipigo huku mawazo yakimjia,
"'Daah sijuwi ntamlipa nini heppy kwa kunitendea wema kama huu maana pale alinipa sigino kuwa nikale msosi huku yeye akiwazuga wazazi wake ila sina cha kumlipa yani, alijiwazia mniga hadi usingizi ukampitia na kulala, kulivokucha kama kawaida yake fasta akaanza kufanya usafi nnje kwenye uwanja alipomaliza akataka kwenda kupiga deki sebleni Ila akamkuta heppy ndo anamalizia kupiga deki,
"'Shikamo kaka yangu, aliongea heppy
'''Marahaba mdogo wangu na asante sana kwa kunisaidia usafi, aliongea mniga
"'Usijari kaka kwanzia Leo Mimi ndo ntakuwa nafanya usafi humu ndani na kupika wewe kama unakazi nenda zako tu kabla hawajaamka, aliongea heppy
"Oh asante sana mdogo wangu kwa kulitambua hilo, aliongea mniga na kutoka zake mdogo mdogo hadi kwa rafiki yake john ambapo alimkuta nae ndo anaamka kutokana na uchovu wa kazi ya Jana
'"Oi niaje kamanda wangu, aliongea mniga
'"Safi kabisa mniga vipi kumekucha, aliongea john huku anapiga miyayo tu ya usingizi,
'"Daah Mimi mzima jamaa ila ndo hivo Jana nilichezea kioigo sana na bamdogo, aliongea mniga
"'Duuh pole sana jamaa yangu sasa usijari maana nimeongea na mama jeni na kaniambia kuwa kodi kwa mwezi ni shilingi 30000.

Kwa 1500 tu unajipatia story hii mbaka mwisho lipia kupitia Tigo Pesa 0678926045 au Halo Pesa 0620816989 ukilipia ntumie ujumbe wa muamala wako Facebook Inbox na WhatsApp)

Itaendelea................

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA