Jambo gumu katika maisha ya mwanaume ni:-

MITHALI : 31⤵️10. MKE MWEMA NI NANI AWEZAYE KUMWONA?MAANA KIMA CHAKE CHAPITA KIMA CHA MARIJANI. 
Jambo gumu katika maisha ya mwanaume ni:-
👉 KUPATA MKE MWEMA💯
Kwa DUNIA tuliyopo Sasa Mwanamke kuwa Mwema kunahitaji Mwanaume awe zoba, Wanawake wengi wanajihesabia kuwa Wana jiweza hata kuona umuhimu wa Mwanaume ni kwa haja ya Mwili pamoja na mahitaji ya mbegu za kiume ili wapate watoto🤦‍♂️
Tofauti na Mwanamke mwema ambaye yeye ajualo ni moja tu :-
👉 HUMTENDEA MEMA WALA SI MABAYA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKE💯
Uonapo Mwanamke anapambana kutafuta uwiano Kwenye MAHUSIANO AMA NDOA huyo ni rahisi kuwa SINGLE MOTHER maana katika HULKA ya Wanaume pamoja na AGIZO LA MUNGU Mwanamke pasipo Mwanaume ni bure, Ni hasara kwa Mwanamke kulazimisha uwiano baina yake na Mwanaume anayelala kifuani kwake, Mwanaume anabakia kuwa MUME na Mwanamke anabakia kuwa MKE.
Huwezi kuwa MKE MWEMA kwa kujiamini katika kujihudumia, Maana jukumu la maisha ya Mwanamke baada kuondoka kwa wazazi ni MWANAUME💯
Kama nafasi yako ki maisha itakufanya kuwa na kiburi ukasahau nafasi ya MUME ujue haikupi kuwa MWANAMKE JASILI bali unaukana uumbaji wa MUNGU.
Mheshimu Mwanaume kama ulivyo agizwa na MUNGU 🙏
HAPPY WOMEN'S DAY🎉🎊🎈
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA