MWANAMKE USAFI BIBIEEE๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ JIFUNZE HAPA KUJISAFISHA SEHEMU ZOTE ZA MAKALIO YAKO

 _Kuna maeneo mwanamke katika mwili wako yanatakiwa yawe safi mda wote๐Ÿ‘Œupo nyonyo๐Ÿ‘Œ_ 

๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

Mda mwengine una mlaumu mumeo hatak kukupa haki ya ndoa sababu uchafu wako upo nyonyoo!!!๐Ÿ‘Œ

Mwanamme kila akikurabia watoa harufi mbovu unafkiri hatokukimbia??
Mwanamke jichunguze, halafu ujipangeee!!

๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

 _*๐Ÿ’Leo ntazungumzia maeneo ambayo mwanamke unatakiwa uwe makini sana kama unaipenda ndoa yako๐Ÿ’*_ 

**MSTARI WA IKWETA**

๐Ÿ’“ (Mstari uliogawa matako yako mawili) 

Ni sehem ambayo huwa kunakaa uchafu ambao unatoa harufu mbaya km hutakuwa unajisafisha.

Unatakiwa upasugue kila unapotawaza baada ya kumaliza haja ndogo au kubwa na unapooga , jisafishe  barabara kwa maji safi na sabuni hata siku ambazo unafanya singo ya karafuu ni vizur kufanyia usafi.

Huko kwenye mstari pembeni kuna vinywele uko....usipovinyoa utanuka vundo ka nguru mbovu nakwambia...nyoq vuzi la matako lote๐Ÿ‘Œ

Usilalamike mume hakunyonyi nyonyo harufuuu oooh๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒCHINI YA MAZIWA๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ
Chini ya maziwa huwa kuna uchafu fulani unakaa pale hususan kwa wanawake wenye matiti makubwa au yaliyolala.

Jitahid unapooga kuyainua na kuyafanyia sasambu kwa kuyasafisha na kutoa mapofu yote yaliganda.๐Ÿ‘Œ
  
KITOVU๐Ÿ’‹
Ni kiungo kidogo lakin kinatoa harufu na kufanya taka nyeusi ikiwa hakitasafishwa vizuri

Ukioga toa maji kwenye kitovu usiache yakakaukia hapo utanuka shoga.....๐Ÿ‘Œ

Ukishaoga jitie haloud safii mtoro sharti unukie๐Ÿ’‹

 ๐Ÿ”†KWAPA๐Ÿ”†
Mwanamke mazingira bibi sio kunuka kikwapaa!!๐Ÿ‘Œ

Kwapa ni sehem nyengine ambayo inaleta maudhi ikiwa haitasafishwa na kushughulikiwa. Ikiwa una unaja jasho kali tumia ndimu au shabu kwa ajili ya kukata harufu.

Jisafishe kwa kuondoa nywele zilokuwepo kwapani , pia tumia colgate na baking soda na ndimu kufanya kwapa yako iwe nyeupe mtoto ๐Ÿ‘Œ sharti bwana anaila kwapa jinsi inavyong'aa

๐Ÿ‘ŒTumia deodorant kuondoa harufu mbaya usipulizie  perfume wala spray kwapani , tia haliud ili unukie vizur uwapo na D wakoo❤

๐Ÿ’•KINYWAA๐Ÿ’•
Kinywa ni sehem nyengine ya mwil wa binaadam ambacho kinahitaji usafi any time.
Sio bwana anarud anataka kupiga romance kinywa kinanuka km yai vizaa loooh aibuuu!!๐Ÿ’‹

Ujue muda wa mumeo kurud kazin ili ujinadhifishe.
Kwan mtume Muhammad sw anasema "Lau ningekuwa siwaonei tabu umma wangu ningewaamrisha kupiga mswak kila kipind cha sala" 

Tafuna hiliki au matango kama unatoa harufu mbaya kinywani.....

๐Ÿ’˜UKE๐Ÿ’˜
Uke ndio kila kitu katika ndoa!!
Ukifel hapo shogaang utabak kuhesab talaka!!๐Ÿ‘Œ

Uke unahitaji matunzo kwanza kujisafisha kabla hujaingiza kidole hakikisha umenawa kwa sabuni na sehemu unayochutama hakikisha ipo safi......๐Ÿ‘Œ

Kama unafuga mikucha ka zimwi utajitia maradhi ya uchi...kata kucha tia kidole kwa juu juu kiasi usizamishe choote kisha nawa vizuri wala usitumie sabuni za chemical.......

Nyoq vizuri uhakikishe hutoi mapele uko...tulifahamishana jinsi ya kunyoa...

Jikaushe vizuri visibaki vimaji uko kisha vaa kikuba chako mtoto๐Ÿ‘Œ

 ♦MASKIO♦ 
Safisha maskio yako nje na ndani kila mara ! kwa kutumia cotton
Sio bwana anataka kutia ulimi anakuta tende imegandaa looh mhh poohh๐Ÿ˜ฐ

Nyuma ya skio jipake haloud sharti unukie mtoto๐Ÿ‘Œ

๐Ÿ“MIGUU๐Ÿ“
Miguu pia inasafishwa jamani kwa kusugua vizur na kutoa takataka zilizoganda katika kuchaaa๐Ÿ‘Œ๐Ÿ’‹

Miguu misagi bwana anairamba ati๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ‘…๐Ÿ’‹

Tumia kiru maalum kwa kusugua miguu ucje ukampara mwenzio ukamtoa dam kwa kea zako!๐Ÿ‘Œ 

Paka glycerin au vifuta vya olive vichanganye na limao....aaaah mguu laini kama wa mtoto mchanga...kurambwa nyayo raha ati๐Ÿ’‹๐Ÿ‘…๐Ÿ‘Œ

MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO

(1) *KITANDA*  

_Mwanamke jitahidi kitanda chako kiwe vizuri NA cha kuvutui kipambe vizuri,kwa mashuka mazuri yenye nakshi,na shuka inyooke vizuri,sio kitanda kinakuwa kama vile stoo ya nguo chafu._  

(2) *MANUKATO*  
_Katika chumba chako jitahidi sana,kiwe kinanuka kila Mara mumeo anapo rudi akiingiq chumbani akutane na harufu nzuri, .sio chumba chanuka jasho._ 

 (3) *USAFI*  

Hili ni jambo LA muhimu sana maana utakuta chumbani kuna vyupi vya wiki nzima, hazijafuliwa mataulo chini,masidiria,mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue kuna shangingi atamchukua._  

(4) *Usafi wa mwili*  

_PIa Usafi wa mwili mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe._ 

 (5) *Mapokezi mazuri* 
 _Wanaume wanapendana sana kupokelewa vizuri,kwa mahaba tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahidi yawe ya mahaba,legeza macho, mwili,yaani ili mradi tu umchanganye mwanaume Siyo umeshupaa kma mwanajeshi kwenye paredi._  

(6) *CHAKULA*  
_ Jitahidi mwanamke kujua kupika sio tu kupika michakula kama ya jela michukuchuku mibaya,mamchuzi chururu kama watoto wanapika matipwi._  

(7) *MITEGO*  
_Hii ni njia ambayo watakiwa uwe mjanja ukimuona mumeo kakaa sebleni basi vaa hata shumizi jipitishe huku ukijitingisha Mara kwa Mara,ujue lazima atakutizama tu tena kwa mwendo nzuri wa maringo._  

(8) *MAPENZI*  
_Mapenzi si lazima kitandani tu popote ni muhimu maana wengine mpaka mume amwambie cheza basi,kiuno kimekaza ukilala chamende ndo basi hata huyo mende anatikisa miguu loooh._ 

 (9) *UKARIMU NA KUJIPENDEKEZA*  

&t;/span>_Hata kama kwenu ulizoea kuwa na domo kama bakuli la togwa jitahidi kuchunga mdomo ukiona huwezi mumeo ngoja aondoke ufunge mlango ubwatuke peke yako kaa chizi,akirudi funga upuuzi wako zungumza maneno mazuri mnyenyekee._ 

(10) *MAKELELE* 

_WANAUME wengi huwa hawapendi makelele wanapenda wakirudi nyumbani kuwe kumetulia isiwe kma choo cha umma,WANAUME wanapenda ukimya mahala panapokuwa kimya huzidisha mapenzi._ 

(11) *ZAWADI* 
_Jitahidi kumnunulia vizawadi pindi unapokwenda sokoni au dukani mwanaume hujisikia faraja pale ukimpatia zawadi._ 

(12) *MAVAZI* 

_Pendelea kumchagulia mavazi TIZAMA rangi ya mwili wake kisha mchagulie nguo inayoendana na rangi yake ya mwili siyo mume mweusi waende kumvisha nguo nyekundu kma anaenda kupunga madogoli mamaa._ *MTUNZE MUMEO MAMA USIPOMTUNZA WAPO WATAKAO KUTUNZIA*

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA