MWANAMKE WAKO UNAMCHUKULIAJE ??

KIPIGO
Kuna sababu gani kumpiga manguni mwanamke wako kama vile wapigana na mwanaume mwenzako? Kosa lina ukubwa gan mpaka umjeruhi? Kwani ukitumia maneno hawez kukuelewa?? Kuna faida gani una muumiza afu una gharamia matibabu. Kuna wakat kosa ni LA kwako ila akihoji  tu una mpiga

LUGHA CHAFU

Hivi pale unapo tumia lugha ya matusi kwa mwanamke wako matusi ya nguoni kumdharirisha INA kusaidia mini?? Kwa nini ugomvi wako na wake uhusishe kumtukania ndugu na wazazi wake??

WATOTO
Unapo mpiga mwanamke wako au kumtukana mbele ya watoto jua una waharibu watoto kiakili. Una watengenezea hali ya uoga na chuki na wapo watao potoka hasa WA kiume ambao nao kesho watafanya hivyo kwa wakee zao lakin WA kikee wataogopa Ndoa wakiamini ni mateso

Sikia KAKA/BABA

MWANAMKE ni siraha hatar sana bila kujali mwonekano WA umbile lake. Kumbuka we mlevi WA kupindukia usku umalala hujitambui ana weza kukupiga n kitu kizito ukafa. Yeye ndo anakupikia ana weza tia sumu ukafa.Ana njia nyimg za kukudhuru ila kukaa kwake kimya haimanishi kuwa umemshinda.

Ambao bado hatujaingia ktk NDOA

Jaman Boys kumpiga au mtusi mwanamke sio ujanja.Usidanganywe na rafik yako mvuta bangi na mulevi anae sema kipigo ndo suluhu.usipandikizwe roho ya chuki na kipumbavu

Dada ukiona Mwanaume bado haja KUOA ila ndo unapigwa na kudharirishwa kila Mara Huyo MTU hakufai. Ahirisha achan nae maanaukiingia ktk Ndoa yatazid na utakosa pa kutokea. Jiondoe mapema.
Lakin nawe punguza jeuri itayo pelekea yakukute haya

MWANAMKE kaumbwa na roho ya uvumilivu na huruma .ukiona una mpiga na kumdharirisha ila bado yupo sio kwamba bado anakupenda ila Watoto ndo hatak wapate tabu..Ugomvi hupelekea hisia za upendo kupungua kila siku

Ila wapo wanawake ambao pia wakorofi na kiburi

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA