KAMA UNA HIZI TABIA BASI UMASKINI UMEKUSINDIKIZA. Please share


▪️ kufatilia maisha ya watu kila wakati.
▪️ Wivu wa maendeleo ya wengine.
▪️Kuomba omba hela au kukopa kila mara
▪️Kua online mitandaon kila wakati
▪️Kujipendekeza kuliko pitiliza
▪️Kupiga piga picha vyakula, mahotelini na kwenye magari ya watu.
▪️Kujieleza saaaaaana kwa watu.
▪️Kusifia sifia wenye pesa( uchawa)
▪️Kupenda saaana kubeti
▪️Kujichubua,matajiri hawajichubuagi. kwenda gym kutengeneza miili kwa lengo la kuvutia wengine na sio afya.
▪️Kudharau kazi.
Mengine malizieni . Share na mtu moja kisha weka maoni yako👇🏾
May be an image of 1 person and standing

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA