"Kuondokana na mawazo ya mpenzi wako mlie achana ni moja kati ya vitu vigumu sana, kuachana ni kitendo cha dakika ila hisia huwa haziondoki papo hapo"
kiumeni.com tumekutafutia na kuweka pamoja njia ya kukurudisha na kuondokana na mvunjiko wa moyo na hisia katika kipindi hiki kigumu cha kuachwa na kukurudisha katika hali ya kawaida ya maisha...
- Mtoe kwenye hio nafasi uliokua umemweka...
- Hakikisha wakati mnaachana makubaliano ya pande zote mbili yamefikiwa...
- Usijaribu kumpigia simu...
- Fanya mazoezi...
- Kaa mbali na marafiki zake pamoja na sehemu anazopendelea...
Hilo doli, kadi na hayo maua aliyokupa kwa ajili ya siku yako ya kuzaliwa, hilo shati alilokununulia, hizo picha zilizotoka vizuri za yeye na wewe, ondoa zote na eiza uzitupe au uweke mbali, utavyoharakisha kutoa hivyo vitu ndo utakavyo sahau kwa haraka zaidi na kabla hujauliza "ndio", unaweza acha vitu ambavyo havikuletei hisia yeyote, ila nguo zake, vito vya kuvaa na vingine vyovyote vinavyo kukumbusha mbali viondoe.
- Usijaribu kufata vitu vyako...
- Tumia muda na marafiki zako...
- Kumbuka mambo mabaya kuhusu yeye...
- Tumia vyema uhuru wako ulionao sasa na jiachie...
- Fanya mapenzi na msichana mwingine...
