KINACHOUMIZA MOYO BAADA YA KUACHANA NI ZILE KUMBUKIZI ZA NYAKATI NZURI


Hakuna aliyebaki salama baada ya MAHUSIANO/NDOA kuvunjika pindi tu upweke ulipotawala akili, mara nyingi MAPENZI yanatawala fikra za mtu na kumfanya kuwa katika hali ya udhaifu ambao huo ndo hujenga tabia ya kumhitaji mtu mmoja, na mtu huyo kama itatokea akaondoka kamwe huwezi kukwepa Maumivu💔
Katika hali isiyo ya kawaida;-
👉 MAPENZI MATAMU NA YENYE RADHA NI YALE ULIYO YAJENGA MWENYEWE KWA FIKRA NA HISIA.
Na ijulikane katika dunia ya MAPENZI hata upate mjuzi kiasi gani unaweza usifurahie ila kuna mmoja hata awe hajui pilika pilika kitandani👙 lakini yeye anabakia kuwa zaidi ya wengine kwa sababu yeye ndiye ambaye anayo dhamana kwa NAFSI yako.
Maana ili ufurahie MAPENZI ni lazima uwe na yule ambaye kwa AKILI NA MWILI yeye ndo mtawala wake, huyo ndiye ambaye ukijua umempata MSHIKILIE SANA maana akiondoka ataacha maumivu kwako, na hata ukitafuta MBADALA wake utakuwa unajitaabisha tu, kwani MOYO ni king'ang'anizi🤦‍♂️
Epuka kujitaabisha Kwenye mapenzi kwani huwezi kuyakimbiza mapenzi kwa hasira, na ujue hasira ni upumbavu uliozaliwa na kiburi, Mwisho kabisa SIMAMA NA HISIA ZAKO 💯
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
May be an image of 1 person, outdoors and tree

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA