UGONJWA WA MWANAMKE NI KUYAPENDA MAPENZI KULIKO MAANA HALISI YA MAHUSIANO/NDOA YENYEWE

Kwenye maisha ya Mwanamke Kuna tatizo ambalo Mwanamke mwenyewe hajui kwanini awe hivyo



Mwanamke anapenda Mwanaume anayemfikisha Kwenye MAPENZI kuliko hata ile maana halisi ya MAHUSIANO NA NDOA.
Mapenzi ni eneo Pana Sana japo wengi wanaamini MAPENZI NI TENDO LA NDOA

Upana wa MAPENZI ni majumuisho ya MAFANIKIO KATIKA UHUSIANO/NDOA ndo maana nasisitiza kwamba MWANAMKE KUYAPENDA MAPENZI KULIKO MAANA HALISI YA MAHUSIANO/NDOA ni hatari kwake, Unapoongelea MAHUSIANO AMA NDOA halafu ukaangukia Kwenye kupenda NGONO kuliko maana ya UHUSIANO AMA NDOA kwa tafsiri fupi lazima USIPATE MAANA HALISI YA MAPENZI

Mwanamke akipenda Mwanaume ambaye anatibu maradhi ya mwili Mara nyingi hawezi kumtafuta MUME BORA
kwanini nasema hivyo :-



Wakati huo Mwanaume asojua majukumu yake hajui wakati sahihi wa kufanya NGONO na hao ndo wanapendwa zaidi na Wanawake wanao penda NGONO kuliko maana halisi ya MAHUSIANO NA NDOA

Mara nyingi Mwanaume anayewajibika Sana na tamaa ya NGONO hupotea, Japo Muda wote anaweza kufanya ngono ikiwa tu:-

Wanawake wanajidanganya kwamba MWANAUME ASIYE NA MAJUKUMU MENGI ni mzuri Kwenye MAPENZI kitu ambacho ni hatari kwa PENZI ENDELEVU ila kama MPO kutumiana tu hata mimi NIMEKUBARI KULANENIIII TU
