HUWEZI KUJENGA MAISHA NA MTU MWENYE MAISHA ANAYEAMINI KATIKA MAFANIKIO YAKE KINYUME CHAKE ATAKUFANYA TULIZO LA STRESS ZAKE


💯
Mafanikio yamewapa kiburi watu wengi na kuwaona wengine wasio kuwa nacho kama sehemu ya ziada kwa mahitaji ya ki mwili 👙
Sio Wanawake ama Wanaume wote kwa kila upande kulalamikiwa katika kudhoofisha maana halisi ya UPENDO na kuipa kipaumbele NGONO😭
Kwamba :-
👉 MTU KUHITAJI MTU KWA NGONO WALA SIO UPENDO 💘
Kumekuwa na tabia mbaya miongoni mwa wengi, Kuwa na hakika ya mambo yao ila wanapohitaji NGONO kama mapumziko ndipo hufikria mtu anayehusika na hilo, wapo tayari kugharamika ili kutimiza haja hiyo na baada ya hapo hawaoni tena THAMANI ya wengine📍
Dunia ya sasa kuitafuta maana halisi ya UPENDO imekuwa fumbo, Kwani kumpata anaye maanisha juu ya UPENDO ni ngumu mnoooo, Wengi wanajikita kutafuta FARAJA kupitia MAPENZI baada ya changamoto za ki maisha, Huku upande wa pili ukiamini upo katika PENZI LA KUDUMU😭
Ukifanikiwa kumpata ambaye kwa UMASIKINI wake analo pendo la dhati kwako huyo mpe nafasi ya pekee, Kwa sababu katika mafanikio ya ki maisha ni bora kuamini katika mtu ambaye anakuwazia mawazo ya kukupa nguvu ili ufanikiwe kuliko mtu anayekuwazia katika maslahi yake.
Raha ya MAPENZI ni kuwa na mtu ambaye anaamini katika kujenga FURAHA NA AMANI YA MWINGINE kinyume chake huwezi kuona maana ya UHUSIANO ama NDOA hiyo, Kataa kutumika kama KIBURUDISHO cha Mtu pindi anaapomaliza kuweka mambo yake Sawa ndipo akiwaza MAPENZI unakuja kichwani kwake📍
May be an image of 2 people, ice cream and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA