USIJIDANGANYE KWAMBA UNAPO MCHOKA MTU NDO NA THAMANI YAKE IMEKWISHA MUDA MWINGINE MAUMIVU ULOMPA NDO NURU YAKE🤔





Bin adam siku zote tunapeana thamani kulingana na mahitaji binafsi, ndo maana imekuwa ngumu kwa wengi kutambuwa  THAMANI HALISI ya Mtu nje ya kuwa na sababu 📍

Ili kuijua thamani yako mwenyewe ni pindi unapojua Kuna mahala ulikosa kuthaminiwa na ukaondoka, halafu unakutana na Mtu ambaye anaonyesha kuijua THAMANI YAKO💯

Muda wote Maumivu ya kupambania MAPENZI humpa mtu ukomavu wa kutofautisha UPENDO WA DHATI 💘 na ule UPENDO WA SABABU.

Ukiwa na akili timamu ukajua kwamba ulikuwa na mtu ambaye hakuwahi kuwa na UPENDO WA DHATI 💘 ila alikuwa nawe kwa UPENDO WA SABABU ZAKE iwe ngono ama tamaa ya ki maisha, Ukweli ni kwamba :-

👉 UENDAKO UTAPATA ANAYE THAMANI UPENDO WAKO WA DHATI 💘

Wasio na UPENDO WA DHATI 💘 siku zote Wana tabia ya kutaka kuabudiwa bila kujali Maumivu wapitiayo wengine, Kama usipojua kukabiliana na hao washenzi utapata taabu sana, Maana kila wanapohisi unataka kuondoka "move on"  hujirudisha ili tu kuharibu ujasili wako, Watu kama ni kukataa hata MAWASILIANO nao📍

Kwa sababu katika mafanikio ya kukubari aondoke nawe uanze upya, Kuna kitu huharibu kinarudisha nyuma nacho ni :-

👉 MAZOEA.

Ama ni wewe kumzoea au yeye kukuzoea, ubaya huja pindi inapoonekana hali ya kwamba HAMUWEZI KUWA PAMOJA hapo ndipo hali ya kubembelezana huja, usipokuwa makini UTAPOTEZA ujasili wako na kama hutajua kilichokupa kutaka kuondoka kwake basi utarudisha majeshi😂😂

Lakini nataka nikwambie kitu:-

👉 MAPENZI YAKIKOSA MVUTO HAYAWEZI KUUTAFUTA HUO MVUTO TENA💯

Yakiisha mwagika hayazoleki, Chukua hatua na utapata lililo bora zaidi kiasi utasahau Maumivu umepitia.



DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA