WENYE WATOTO WA KIUME WACHUNGUZENI WATOTO WENU KAMA KUNA KOKWA ZOTE MBILI KWENYE KORODANI ZAO.


Leo ngoja niwaambie jambo moja ndugu zangu japo wengine munaweza kuliona Geni ila kwa wale wanaofahamu basi hapa inakuwa kama nawakumbusha tuu.

Iko hivi Kokwa zinapaswa kuwa kwenye vile vifuko vyake muda wote...watoto wengine huwa wamezaliwa kokwa zao hazijashuka au zinakuwa zinahama hama..hii ni hatari, inaweza kusababisha korodani kufa na mtoto kushindwa kuzaa ukubwani au kupata kansa ya korodani.... mchunguze mwanao ili uwahi matibabu mapema ya kuzishusha kabla hazijafa... kama utapata ugumu wa kujua kokwa zikoje, anza na  baba yake na yeye si anazo tena zake kubwa🤣🤣... sasa wewe chezea koki uone utakavyolowa..😂😂🤣 hebu wachunguzeni watoto wenu vizuri kama unae hapo anza kabisa kumuangalia muda huu.. 

Alafu sio munachunguza uku munasema ohoo!! Mwanangu uyoo atakuwa hatari baadae 😁😁 hii michezo muache mtoto anakusikia... mara hoo inabid uninyooshee watoto wote wa mtaani 😹😹 mwingne atakuambia wee niletee tuu mimba nyumbani tutalea yaani hata zikija 100 jaman hii mambo sio mizuri shauri zenu 🏃‍♂️🏃‍♂️ 

Whatsapp 0629241898
#Saikolojiatz

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA