WADADA WANAPOOLEWA WANAKOSEA WAPI?


 Hili ni swali la msingi sana kujiuliza, ingawa pia utaniuliza wanakosea wapi kivipi....

Katika hali ya uhalisia kabisa wadada wengi kabla hawajaingia katika ndoa wanakuwa wanavutia sana,warembo kweli...wenye maumbo mazuri n.k kiasi ni rahisi sana kuleta mvuto wa kimahaba kwa mwanaume wake lakini sasa pindi tu wanapoingia katika ndoa wengi huwa wanabadilika ...

Unakuta wanaanza kuwa na miili ya tembo 'love handle' za kutosha yale manyama ya pembeni ya tumbo ...matumbo makubwa ...mashavu usiseme kiasi kwamba wanapoteza kabisa ule mvuto wa awali ambao usikute ndo ulimfanya mwanaume akampenda hadi akataka kumuoa ... Tuachane na mabadiliko ya kiumri au yanayotokana na uzazi haya tunayozungumzia ni yale mabaliko tuseme ya uzembe yanayotokana na kujiachia kula hovyo hovyo sijui na nn kingine ....

Sasa niwaambie ..unaposhindwa kumaintain  urembo wako mumeo anakuchoka anaishi na ww afanyaje tu kwa vile ameshakuoa ila mara nyingine inaweza kupelekea ndoa kuvunjika mana mwanaume lazima atatoka kwenda kutafuta mwanamke kama yule ulivyokuwa ww kabla hakakuoa na akimpata lazima mapenzi yahamie huko...na kama mnavyowajua viumbe hawa .

Basi mjitahidi hata kama mnapika wenyewe na kujipakulia hakuna wa kuwapangia lakini ebu zingatieni kula basi msiishi kimazoea fanye hata mazoezi mnapopata nafasi msichukulie poa ndoa zenu watu wanatawafundisha kwa vitendo

Njoo tuzungumze kuhusu mahusiano yako leo: 
Whatsapp 0629241898 nauli yake ni nafuu kabisa.

#Saikolojiatz
#Darasalamahusiano

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA