AMEUVUNJA MOYO WAKO KIASI KIKUBWA NA KUKUACHA NA MAJONZI WAKATI WOTE:


MAUMIVU katika mapenzi huwa hayazoeleki, Hata kama unajifanya wewe ni shujaa kiasi gani, inapotokea yule unayempenda akakuumiza akauvunja moyo wako, akaondoka na kwenda mbali na wewe, lazima utaumia sana!

Maumivu ya kimapenzi yanakufanya ujihisi ni kama umekatwa mikono,  miguu yote, unahísi kama dunia imefika mwisho unaona kila kitu kibaya . Kama hujawahi kuyapitia basi omba yasikukute.

Mara nyingi, wengine inapotokea wameumizwa na wale waliokuwa wanawapenda sana, hufikiria kujidhuru kwa kujinyonga, kunywa
sumu au kujipiga risasi, Wengine huamua kuwadhuru wale
waliowakataa

Wengine hujikuta wakipotelea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, pombe au tabia nyingine hatarishi kama kujihusisha na ngono zembe na watu tofauti tofauti, wakiamini eti ndiyo wanapunguza machungu, Huko kote ni kujidanganya na kuongeza matatizo.

Ikitokea amekuumiza moyo wako na kukuacha tambua kwamba maumivu unayoyapitia ni ya muda tu! Utaumia sana utateseka sana ndani ya moyo wako, utalia na kusaga meno lakini hayo yote ni ya kupita, .

Usipate shida tena suluhisho lako lipo..
Karibu nikupe muongozo mzuri wa kisaikolojia ambao utakujenga vizur na kukufanya uwe na furaha maishani mwako, nitumie ujumbe mfupi. 

WhatsApp & Call 0629241898
nauli yake ni ndogo sana hii yote ni kuboresha huduma zetu.

#Saikolojiatz
#Darasalamahusiano

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA