.KUNA MUDA UNAPOACHWA INABIDI UKUBALI UKWELI MZIMA MZIMA KUWA UMEACHWA



 Ukiachwa huwezi kubadili ukweli kuwa umeachwa!hata ukilia usiku kucha huwezi kubadilisha ukweli!hata upost vistatus vya huzuni kiasi gani huwezi kibadili huo ukweli!!hata utie huruma kiasi gani haikuondoi kwenye mstari wa uhalisia kuwa umeachwa!!.!!!kubali kuwa huwezi kubadili chumvi kuwa sukari no matter what?..huwezi kuforce akupende tena wakati hana time na ww!!hakuna wa kumforce aanze kukucal, wala kukutext kama zamani!!!hakuna wa kumfanya amfanye aitambue thamani yako!!hata umlilie kibonde amshauri akurudie haitawezekana !!Ukipendwa kuna vitu huyo mtu atafanya kwa hiari hutaforce upendo!!..kubali!!mwache aende!!unapoachwa ww bila kutumiwa text, call, wala kupewa muda ujue kuna mwenzio anampa time ya kutosha na anampigia simu za kutoshaa!!ni ngumu kumfanya arudi kwako tena!!alikijari na sasa anakupotezea bila kosa huna sababu ya kujitilisha huruma au kulia ili akupe nafasi!!MOVE ON KIMYA KIMYA...acha kulalamika!!sitisha mawasiliano bila kumuaga!!block namba zake kimya kimya ili upone haraka maumivu yako...life is too short kutafuta nafasi kwa mtu asiye na time na wewe!!focus kwenye kumsahau acha kufocus kutafuta nafasi kwake.NAJUA KUNA MTU ITAMGUSA HII..

Na kama unapitia wakati huu karibu kwenye huduma zangu za ushauri mi nipo kwa ajili yako my dia

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA