Home › MAHUSIANO
› Sikiliza my dia Tusichokijua ni kuwa watu tuliokuwa tunawapenda wakatuacha walishaanza maandalizi ya kutuacha muda sana sema taarifa tu ilichelewa kutufikia
Sikiliza my dia Tusichokijua ni kuwa watu tuliokuwa tunawapenda wakatuacha walishaanza maandalizi ya kutuacha muda sana sema taarifa tu ilichelewa kutufikia
..unapoona mabadiliko ya taratibu kwenye mahusiano yako na ndio yanazidi kukomaa ujue mtu anaanda safari ya kuondoka!!unaishi na mwanaume au mwanamke hata kama hajakuoa maana siku hizi muona kawaida bila kujua munajitengenezea gundu wenyewe tuachen na hilo sio lengo la kuandika hii post unaishi na mtu ghafla anaanza kuwa busy sana na simu !!anachat 20 hours/ilikuwa sio kawaida kuchat mpaka usiku lakini ghafla anachat mpaka saa sita usiku anakuacha umelala ukimuuliza utasikia na chat kwenye group!!kuna ishu moja ya kikazi au ya chuo tunjadili!!..ghafla anaanza kukwepa kukaa karibu na ww!!ukimsogelea anakasirika!!anaanza kuwa mkali bila sababu!!usiku anakuwa mtu wa kutoka sana utasikia niko round napunga punga upepo afu ukipiga simu yake busy!!?simu inabadilishwa password kila siku!!zamani simu yake ulikuwa nayo huru sana lakini ghafla simu inageuka tanuli na la moto!!kujari kunaisha!!anakujibu anachojisikia yeye!!simu yako mara ya mwisho kutumiwa text tamu hukumbuki ni lini?ushasahau hata kama kuna text tamu duniani!!ukimuambia siku hizi sikuelewi anakuambia unataka niwaje wasiwasi wako tu!!ndugu yangu ukiona hivyo ujue safari ya kuondoka kwako IMEWADIA!!usipuuze anza kuandaa akili kisaikolojiaa..ndugu yako kibonde nakukumbusha tu kuwa hzi ni dalili za penzi kufa andaa sanda!!!na matanga lakini habari njema ni kuwa HAUTAUMIA WALA KULIA MILELE IPO SIKU UTAPONA NA MAISHA YATAENDELEA..