WANAUME KUNA VITU LAZIMA MVIELEWE KWA WAKE ZENU.


🔴Bibilia inasema MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU hapo hapo inasema MKAE NAO KWA AKILI. Na bado inasema MWANAMKE NI JESHI KUBWA
🔴SWALI
Walijifunza saa ngapi uwanajeshi na ili kudhibitisha kwamba ni mwanajeshi MUNGU anamtuma kwa mwanamme amlinde.
#Yeremia 31:22 .... Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani mwanamke atamlinda mwanamume.
KUMBUKENI HILI WABABA
🔴Mtu wa kwanza kukutana na SHETANI #live ni mwanamke pamoja na kwamba walizungumza mengi na #kula_tunda kiukweli hamjui mengi waliyozungumza mbali na kula tunda.
🔴MWANAMKE aliumbwa ukiwa usingizini wewe MWANAUME hujui ni kitu gani walichozungumza na MUNGU kabla ya wewe kuzinduka.
🔴MWANAMKE ndiye aliyemwelewa MUNGU alipoambiwa ana mimba ya ROHO MTAKATIFU wewe MWANAUME ulitaka kumkimbia badala ya kukabiliana na changamoto hiyo.
🔴MWANAMKE ndiye mtu wa kwanza kwenda kuhakikisha kama kweli YESU amefufuka na kusambaza habari.
🔴MWANAMKE ndiye anayeongoza kwa ushawishi mkubwa mwanaume huna ujanja mfano mzuri tazama huu hapa
■Eva kwa Adamu
■Delila kwa Samson
■Ester kwa Ahasuero
■Raheli kwa Labani n.k
🔴Usimuudhi mke wako ana siri kubwa sana usione kakaa na wewe anakuvumilia pamoja na ukatili wako.
🔴Anaweza akatekeleza kile ambacho walichozungumza na MUNGU au anaweza kutekeleza alichozungumza na shetani .
⬛WAPENDENI WAKE ZENU ISHINI NAO KWA AKILI.ASIWEPO MWANAMKE ATAKAYEJUTA KWA KUKUPATA WEWE KUWA MWENZA WAKE.Mwanzo 2:8
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
⬛NANYI KINA MAMA WATIINI WAUME ZENU WAPENDENI WAJALINI,WAHESHI
MUNI WALINDENI WAOMBEENI
KWA MAANA HAKUNA MWANAMUME KATILI KWA MKE MNYENYEKEVU.
MUNGU AWALINDE
May be an image of 2 people

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA