KUNA MUDA UNAPOACHWA INABIDI UKUBALI UKWELI MZIMA MZIMA KUWA UMEACHWA
Ukiachwa huwezi kubadili ukweli kuwa umeachwa!hata ukilia usiku kucha huwezi kubadilisha ukweli!hata upost vistatus vya huzuni kiasi gani huwezi kubadili huo ukweli!!hata utie huruma kiasi gani haikuondoi kwenye mstari wa uhalisia kuwa umeachwa!!.!!!kubali kuwa huwezi kubadili chumvi kuwa sukari no matter what?..huwezi kuforce akupende tena wakati hana time na ww!!hakuna wa kumforce aanze kukujal, wala kukutext kama zamani!!!hakuna wa kumfanya amfanye aitambue thamani yako!!hata umlilie Muu Mata amshauri akurudie haitawezekana !!Ukipendwa kuna vitu huyo mtu atafanya kwa hiari hutaforce upendo!!..kubali!!mwache aende!!unapoachwa ww bila kutumiwa text, call, wala kupewa muda ujue kuna mwenzio anampa time ya kutosha na anampigia simu za kutoshaa!!ni ngumu kumfanya arudi kwako tena!!alikujali na sasa anakupotezea bila kosa huna sababu ya kujitilisha huruma au kulia ili akupe nafasi!!MOVE ON KIMYA KIMYA...acha kulalamika!!sitisha mawasiliano bila kumuaga!!block namba zake kimya kimya ili upone haraka maumivu yako...life is too short kutafuta nafasi kwa mtu asiye na time na wewe!!focus kwenye kumsahau acha kufocus kutafuta nafasi kwake.NAJUA KUNA MTU ITAMGUSA HII..
Muu Mata